Sio tu maisha yamekuwa magumu bali pia technolojia imewezesha watu kuonekana kama vile wanaongea wenyewe.
Ukiwa unacheka mwenyewe mbele ya screen ya smartphone yako hakuna atakayekushangaa!
Mtu mmoja aliniona “naongea mwenyewe “ huku nafanya gestures zote baadaye akaniuliza vp bwana imekuwaje sku zi una changamoto gani, nilikuona ukiongea mwenyewe siku flani.
Ambacho hakujua ni kwamba nilikuwa na blue tooth earphones maskioni nikiteta maswala muhimu na watu! Lakini gestures za nini wakati unateta na mtu aliye kilometer 500 mbali?! Acha hizo utajaonekana chizi mkuu!