Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4.
Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na sekunde kadhaa. Hapo kuanzia biti la kuanza hadi mwisho kabisa.
Nakumbuka zamani kidogo wimbo kua na dakika 4 kwenda juu ni kawaida. Kukuta verse 3 zilizoshiba ni kawaida kabisa.
Naweka sample ya nyimbo zinazotrend YouTube na urefu wake.
PS: Sijaiweka ya Konde Boy Altitude yenyewe naona imevuka dakika 4.
Tatizo ni Wasanii au Mashabiki tunataka hizi nyimbo fupi?