Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 May 15, 2021 #1 Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4. Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na sekunde kadhaa. Hapo kuanzia biti la kuanza hadi mwisho kabisa. Nakumbuka zamani kidogo wimbo kua na dakika 4 kwenda juu ni kawaida. Kukuta verse 3 zilizoshiba ni kawaida kabisa. Naweka sample ya nyimbo zinazotrend YouTube na urefu wake. PS: Sijaiweka ya Konde Boy Altitude yenyewe naona imevuka dakika 4. Tatizo ni Wasanii au Mashabiki tunataka hizi nyimbo fupi?
Sijui ni mimi tu au, ila naona kama nyimbo nyingi za Bongo Fleva ziku hizi fupi sana. Ni nadra kuona wimbo umezidi dakika 4. Nyingi zinaishia dakika 3 na nusu na nyingine hadi dakika 2 na sekunde kadhaa. Hapo kuanzia biti la kuanza hadi mwisho kabisa. Nakumbuka zamani kidogo wimbo kua na dakika 4 kwenda juu ni kawaida. Kukuta verse 3 zilizoshiba ni kawaida kabisa. Naweka sample ya nyimbo zinazotrend YouTube na urefu wake. PS: Sijaiweka ya Konde Boy Altitude yenyewe naona imevuka dakika 4. Tatizo ni Wasanii au Mashabiki tunataka hizi nyimbo fupi?
Agogwe JF-Expert Member Joined Feb 20, 2013 Posts 2,742 Reaction score 3,000 May 15, 2021 #2 "pumzi fupi ruti ndefu"
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,539 Reaction score 11,419 Nov 25, 2021 #3 Ni kweli, naona Wanabania sauti zao, na kutaka vifaa tunavyozisikilizia zifanye kazi ya ziada ya kurudiatudia ili tuifaidi. Unakuta sauti nzuri, maneno mazuri, ila kabla hata hujavuta hisia na kuufurahia, kuko kimya, umeishamalizika!
Ni kweli, naona Wanabania sauti zao, na kutaka vifaa tunavyozisikilizia zifanye kazi ya ziada ya kurudiatudia ili tuifaidi. Unakuta sauti nzuri, maneno mazuri, ila kabla hata hujavuta hisia na kuufurahia, kuko kimya, umeishamalizika!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 25, 2021 #4 Alafu wanachoimba hakuna...