Watoto wa shule (wanafunzi) wa sikuhizi wataumwa migongo. Unamkuta mtoto mdogo wa shule wa miaka kati ya 5 - 7 amebeba begi kubwa utafikiri anahamia shuleni moja kwa moja.
Ukifuatilia utagundua mtoto amebeba mzigo wa madaftari ya masomo yote (masomo ya wiki nzima). Daftari la somo la ijumaa analibeba kuanzia jumatatu hadi Ijumaa.
Je, kila siku wanafunzi wanasoma masomo yote au hawana ratiba ya masomo ya wiki nzima?
RIGHT MARKER
Dar es salaam.