Yapi bado wanang'ang'ania mahari?Nenda Kigoma utayashangaa unayoyazungumza.
Kwahiyo unataka kusema ni kutokana na uhaba wa soko?Vyuma vimekaza, udangaji ni mkubwa sana na wanaume wamekuwa wagumu kufunga ndoa
Tena sio pesa kidogo ni pesa nyingi sana wanataka.yapi bado wanang'ang'ania mahari?
Mkianza maisha hizo wanawoarejeshea mpate kianzio?Tena sio pesa kidogo ni pesa nyingi sana wanataka.
Aaaaa wapi ukitoa ndiyo imetoka hiyo, wenyewe wanadai watazitumia kwa ajili ya send-off ya binti yao.Mkianza maisha hizo wanawoarejeshea mpate kianzio?
Mluguru 3m? Wale wale wa vigoma? Anyways wapo wastaarabu pia.Ndugu unaongea kwa uzoefu au umesimuliwa? Juzi tu hapa jamaa yangu mahari pamoja na makorokoro yote imemtoka 3M na kaoa mluguru tu, nenda uchagani utajuta
Basi kumbe ndio utamaduni wao. Ukitaka kifaa huko ujipange kabisa.Aaaaa wapi ukitoa ndiyo imetoka hiyo, wenyewe wanadai watazitumia kwa ajili ya send-off ya binti yao.
Jamaa unatushusha kwahiyo umeona waluguru ndio wa bei rahis? Eti ni mluguru tu.🤣🤣Ndugu unaongea kwa uzoefu au umesimuliwa? Juzi tu hapa jamaa yangu mahari pamoja na makorokoro yote imemtoka 3M na kaoa mluguru tu, nenda uchagani utajuta
Wachaga hawana mambo ya kijinga kwenye suala la ndoaNdugu unaongea kwa uzoefu au umesimuliwa? Juzi tu hapa jamaa yangu mahari pamoja na makorokoro yote imemtoka 3M na kaoa mluguru tu, nenda uchagani utajuta
Kwanini Kaka nini tatizo?Sitakuja nitoe million 1 kwa kiumbe kinachoitwa mwanamke,et mahali... ..
Never ever
Ofcourse lazima muwe na mipango nyinyi kama nyinyi. Wife to be lazima awapange wazazi yeye mwenyewe kama kweli ana nia ya kuolewa.Haya mambo ya mahari ni mambo ya kizamani sanaaa kama unataka kuoa ongea na binti myamalize na mkubaliane hata hiyo mahari muelewane mwisho ni kiasi gani kulingana na uwezo wako binafsi nilimwambia wife awaambie kabisaa wazazi wake siwez toa zaid ya Milioni 1 na ndio niliyotoa japo nilikuwa na uwezo wa kutoa zaid ila sikuona maana
multifactorial sio?Huo urahisi unaozungumzia inategemea na jamii, nenda Mara, mikoa yenye jamii ya wasukuma......kurahisishwa pia inategemea na binti unayemuoa uyo wa kujikabidhi kabla ujakabidhiwa na wazazi wake
Sitakuja nitoe million 1 kwa kiumbe kinachoitwa mwanamke,et mahali... ..
Never ever