Siku hizi ukitangaza Ndoa na una mwelekeo wa maisha, suala la Mahari hawakulazimishi sana

Siku hizi ukitangaza Ndoa na una mwelekeo wa maisha, suala la Mahari hawakulazimishi sana

Ndugu unaongea kwa uzoefu au umesimuliwa? Juzi tu hapa jamaa yangu mahari pamoja na makorokoro yote imemtoka 3M na kaoa mluguru tu, nenda uchagani utajuta
Ila milioni 3 ni nyingi sana jamani,Kwa waarabu kwao ni sawa kabisa ile sie ngozi nyeusi
 
Ofcourse lazima muwe na mipango nyinyi kama nyinyi. Wife to be lazima awapange wazazi yeye mwenyewe kama kweli ana nia ya kuolewa.
Yaaap mwisho wa siku kama ni kulala sakafuni au kushinda njaa ndani ya nyumba ni nyie wawili hapo wazazi hawapo kwahyo lazima mpange mipango yenu wenyewe sio akili kumaliza pesa zote kwenye mahari na harusi halafu mnakuja kuanza maisha hamna kitu hata maendeleo kidogo ya kimaisha kama assets, kiwanja, nyumba au biashara hakuna mnaanza upya sababu ya kuwaridhisha wazazi na mahari kubwa au harus ya kifahar
 
acha nadharia, unaishi Pluto nini

kama singo maza tu unakamuliwa 3m,

kigoli sijui itakuaje,
 
Yaaap mwisho wa siku kama ni kulala sakafuni au kushinda njaa ndani ya nyumba ni nyie wawili hapo wazazi hawapo kwahyo lazima mpange mipango yenu wenyewe sio akili kumaliza pesa zote kwenye mahari na harusi halafu mnakuja kuanza maisha hamna kitu hata maendeleo kidogo ya kimaisha kama assets, kiwanja, nyumba au biashara hakuna mnaanza upya sababu ya kuwaridhisha wazazi na mahari kubwa au harus ya kifahar
hii point
 
Mi nikija kutoa hela nyingi ni 500k, hizo milion wasahau kwa kweli.. Alafu siku hiz wanawake hata bure unabeba, kikubwa hakikisha unamtia mimba tu.
Ukianza na Mimba umetumia njia haramu
 
kama Mungu akinijaalia mtoto wa kike yeye ndiye atasema mahari kiasi na hizi mila za kudai blangeti sijui mali ya mama sitaruhu binti ataje mwenyewe.

sitaweza kushindwa kwenda kwa mkwe wangu kusilimia kwa kuona aibu ya mahari nilomkamua
 
Back
Top Bottom