Ila milioni 3 ni nyingi sana jamani,Kwa waarabu kwao ni sawa kabisa ile sie ngozi nyeusiNdugu unaongea kwa uzoefu au umesimuliwa? Juzi tu hapa jamaa yangu mahari pamoja na makorokoro yote imemtoka 3M na kaoa mluguru tu, nenda uchagani utajuta
Makorokoro kibao ambayo hata hayana kazi hapa mjini. Mfano blanketIla milioni 3 ni nyingi sana jamani,Kwa waarabu kwao ni sawa kabisa ile sie ngozi nyeusi
3,000,000....?Ndugu unaongea kwa uzoefu au umesimuliwa? Juzi tu hapa jamaa yangu mahari pamoja na makorokoro yote imemtoka 3M na kaoa mluguru tu, nenda uchagani utajuta
Nkamu ghwangu ingwamba nyingi itoro amasiku aghaMi nikija kutoa hela nyingi ni 500k, hizo milion wasahau kwa kweli.. Alafu siku hiz wanawake hata bure unabeba, kikubwa hakikisha unamtia mimba tu.
Yaaap mwisho wa siku kama ni kulala sakafuni au kushinda njaa ndani ya nyumba ni nyie wawili hapo wazazi hawapo kwahyo lazima mpange mipango yenu wenyewe sio akili kumaliza pesa zote kwenye mahari na harusi halafu mnakuja kuanza maisha hamna kitu hata maendeleo kidogo ya kimaisha kama assets, kiwanja, nyumba au biashara hakuna mnaanza upya sababu ya kuwaridhisha wazazi na mahari kubwa au harus ya kifaharOfcourse lazima muwe na mipango nyinyi kama nyinyi. Wife to be lazima awapange wazazi yeye mwenyewe kama kweli ana nia ya kuolewa.
hii pointYaaap mwisho wa siku kama ni kulala sakafuni au kushinda njaa ndani ya nyumba ni nyie wawili hapo wazazi hawapo kwahyo lazima mpange mipango yenu wenyewe sio akili kumaliza pesa zote kwenye mahari na harusi halafu mnakuja kuanza maisha hamna kitu hata maendeleo kidogo ya kimaisha kama assets, kiwanja, nyumba au biashara hakuna mnaanza upya sababu ya kuwaridhisha wazazi na mahari kubwa au harus ya kifahar
🤣🤣wapi huko?acha nadharia, unaishi Pluto nini
kama singo maza tu unakamuliwa 3m,
kigoli sijui itakuaje,
hii ni njia haramu kakaUsiteseke piga mimba kausha endelea na mambo yako atakuja tu
Ukianza na Mimba umetumia njia haramuMi nikija kutoa hela nyingi ni 500k, hizo milion wasahau kwa kweli.. Alafu siku hiz wanawake hata bure unabeba, kikubwa hakikisha unamtia mimba tu.
hakuna namnaUkianza na Mimba umetumia njia haramu
Kwani kupoje huko Kigoma??.Nenda Kigoma utayashangaa unayoyazungumza.