Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Ndiyo rafiki nilishawahi kukutana na hilo balaa nikajitibu nikapona kabisa

Unapata hilo balaa kwa mwanamke/binti ambaye hata hukuzania kabisa

Peku/kavu tamu sana ila ina hasara zake
Doh!! Pole na Hongera kwa kupona rafiki!!
Ni Hatari nanusu eti
 
Aisee kuna pisi moja huwezi dhania kama ina huo ugonjwa ukiiona nimepiga mechi nikakaa kama siku tatu nikaanza kuhisi maumivu wakati wa haja ndogo naamka siku ya nne tayari nishachelewa naenda hospital wananiambia nimechelewa sana ikabidi wanipige sindano moja na wakanipa na dawa za kutumia wakanambia mlete mwenzako nikampigie simu kaenda,

hospital akaambiwa yeye ana chronic UTI na fungal infection akaandikiwa sindano tano kwa siku anachoma moja halafu anadai yeye alikuwa hahisi chochote anajiona yupo sawa tu aisee yaani ngoma hata kuamka ilikuwa haiamki asubuhi unaamka ngoma inauma sana .

NBπŸ˜›isi kali ndo zenye magonjwa kwasababu kila mtu anazitaka halafu zenyewe hazijali kuhusu afya wao wanawaza matoleo mapya ya simu na kuvaa ila akivua ni ng'onda.
 
mkuu figo zinaweza haribika kwa mda gani. maana kuna siku nilipata hii kitu nikakaa siku 5 bila kwenda HOSP nikaanza kusikia maumivu mgongoni na kwenye kiuno kwa nyuma mgongoni na kwa ndani ya mgongo.
 
Mkuu ulipita rough road nini?πŸ˜‚
 
Tunashauriwa kunawa na maji pekee bila sabuni. Wanawake wa mujini wanaweka na viungo huko utadhani wanapika pilau
 
Mazoezi ya hisia tu kwani ma padre na masister wanaishije miaka yote hio. Ishu ni mindset.
Kujichua ni kufanya ngono na majini wengi awaelewi hili kwamba wanauza mbegu zao kwa shetani.
Mapadre wanatoka sana na hao masista mapadri wengine wana scandal za kuwalawiti watoto wa kiume. Na masista nao wanagongwa tu kama mademu wengine
 
Mzigo unatoka wenyewe mpaka njia ya mkojo inakaribia kuziba.
 
Ndiyo rafiki nilishawahi kukutana na hilo balaa nikajitibu nikapona kabisa

Unapata hilo balaa kwa mwanamke/binti ambaye hata hukuzania kabisa

Peku/kavu tamu sana ila ina hasara zake
Elli hizi mnazoziita pisi kali ni hatari zaidi.
Nimetokea kuwagopa sana warembo...naishia kupiga stori tu.
Maisha ni matamu ebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…