Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Ndiyo rafiki nilishawahi kukutana na hilo balaa nikajitibu nikapona kabisa

Unapata hilo balaa kwa mwanamke/binti ambaye hata hukuzania kabisa

Peku/kavu tamu sana ila ina hasara zake
Doh!! Pole na Hongera kwa kupona rafiki!!
Ni Hatari nanusu eti
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Aisee kuna pisi moja huwezi dhania kama ina huo ugonjwa ukiiona nimepiga mechi nikakaa kama siku tatu nikaanza kuhisi maumivu wakati wa haja ndogo naamka siku ya nne tayari nishachelewa naenda hospital wananiambia nimechelewa sana ikabidi wanipige sindano moja na wakanipa na dawa za kutumia wakanambia mlete mwenzako nikampigie simu kaenda,

hospital akaambiwa yeye ana chronic UTI na fungal infection akaandikiwa sindano tano kwa siku anachoma moja halafu anadai yeye alikuwa hahisi chochote anajiona yupo sawa tu aisee yaani ngoma hata kuamka ilikuwa haiamki asubuhi unaamka ngoma inauma sana .

NB😛isi kali ndo zenye magonjwa kwasababu kila mtu anazitaka halafu zenyewe hazijali kuhusu afya wao wanawaza matoleo mapya ya simu na kuvaa ila akivua ni ng'onda.
 
Kuna vitu viwili vinavyosababisha UTI kwa akinamama.
1. Kutokuchamba vizuri kiasi uchafu kuingia katika K. Hii inagundulika ukipima maabara watakuta ni

E. coli (Escherichia coli0​

2. Kama mnafanya kamchezo ambapo mnatoa mbele bila kuosha mnaendelea nyuma bila kuosha na mnarudi mbele. Hako kamchezo ni hatari kwa UTI hata kama mnatumia Condom. Jisi ya kufanya ni kuhakikisha umeiosha dushe kwa sabuni ili mwendelee na upande wa pili. La sivyo figo zitaathirika
mkuu figo zinaweza haribika kwa mda gani. maana kuna siku nilipata hii kitu nikakaa siku 5 bila kwenda HOSP nikaanza kusikia maumivu mgongoni na kwenye kiuno kwa nyuma mgongoni na kwa ndani ya mgongo.
 
Mimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu😡
Mkuu ulipita rough road nini?😂
 
mimi naona mwanamke akiwa msafi sana kule akipasafisha mara kwa mara ndo anapata magonjwa na mafangasi kibao, kule kunajishafisha kwenyewe na kujilinda natural, pia mkipaacha natural kuna kuwa na harufu ya asili na mvuto wa kipekee , wale walioishi na beki tatu nazan watanielewa vzuri.
Tunashauriwa kunawa na maji pekee bila sabuni. Wanawake wa mujini wanaweka na viungo huko utadhani wanapika pilau
 
Mazoezi ya hisia tu kwani ma padre na masister wanaishije miaka yote hio. Ishu ni mindset.
Kujichua ni kufanya ngono na majini wengi awaelewi hili kwamba wanauza mbegu zao kwa shetani.
Mapadre wanatoka sana na hao masista mapadri wengine wana scandal za kuwalawiti watoto wa kiume. Na masista nao wanagongwa tu kama mademu wengine
 
mkuu kama namfahamu huwa namwambia kabisa ili ajuee ili apunguze shobo hawa viumbe wamenipa UTI ambayo nilikuwa naisikia na nilikuwa sijawahiii kuumwa hata siku moja kwenye maisha yangu.
na siku nilijua UTI ni balaa ni pale nilipo ona uchafu unatoka na boxer kuchafukaa...
watatuuwa hawa watu.
Mzigo unatoka wenyewe mpaka njia ya mkojo inakaribia kuziba.
 
Ndiyo rafiki nilishawahi kukutana na hilo balaa nikajitibu nikapona kabisa

Unapata hilo balaa kwa mwanamke/binti ambaye hata hukuzania kabisa

Peku/kavu tamu sana ila ina hasara zake
Elli hizi mnazoziita pisi kali ni hatari zaidi.
Nimetokea kuwagopa sana warembo...naishia kupiga stori tu.
Maisha ni matamu ebo
 
Back
Top Bottom