Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Hakuna shida maisha ni yako piga nyeto utakavyo matokeo utayaona upende usipende. Kanuni haibishaniwi maana matokeo ya kuifata au kuivunja kanuni yako pale pale
 
Hakuna shida maisha ni yako piga nyeto utakavyo matokeo utayaona upende usipende. Kanuni haibishaniwi maana matokeo ya kuifata au kuivunja kanuni yako pale pale
Naomba uangalie makala yako na unipe kura au maoni yako
 
Huwambii watu "wapige nyeto" hii ndo kauli njema, tuko pamoja kiongozi
 
Nyie hao wanawake mnawatoa wapi acheni kupenda vitonga na kudandia mizoga
 
Acheni kuendekeza ngono vijana oeni

Ujana ni maji ya moto kuna muda hayo maji yatapoa tu

Namuomba Mungu aniepushe na Zinaa
Kwani huyo mwanamke hawezi kupa UTI
 
Sasa kama kila tundu unapita nalo hata mama yako unaweza mkamua unataka uharibikiwe mara ngapi? Mpaka hapo unaonesha ni mtu wa aina gani, mpaka hapo hauko sawa, ushaelekea kibra
 
Wewe umesema alafu unajivika mamlaka ambayo huna unakosea sasa mkuu wewe ni nani wa kuniambia Mimi hivyo una uwezo gani

Yaan hata nikikuambia uniambie nini kitakupata baada ya Dakika 2 wewe km wewe huwezo huo huna wewe ni KIPOOOOFU
Tumalize mjadala, wee kula upendavyo ni haki yako na hamna shida yoyote, mimi ndo mshamba sijui mambo ya starehe
 
Tuko pamoja ndugu, tutubu dhambi zetu na tuombeane heri, nisamehe kama michango yangu imekukwaza kwa namna moja au nyingine, karibu tujadiliane siku nyingine na uwe na amani
 
Mzee una shida sehemu juchunguze.
 
Wakaba nyoka kazi tunayo!
 
Mzee una shida sehemu juchunguze.
Wewe ndio una shida sehemu

Ukinyoosha kidole kimoja mbele kumnyooshea mtu au kunielekezea mimi usisahau kuna vidole vinne vyote vina-point kwako, that's true meaning of what goes around comes around yaan unaponiambia Mimi nijichunguze weewe inabidi uwe umeshajichunguza mara 4 kuliko nilivyojichunguza Mimi

Anza kujichunguza wewe mwenyewe maneno yangu sio Sheria ukitaka chukua usipotaka acha

And lastly huna hio Power ya kuniambia Mimi nijichunguze huuuna your too Powerless

Ungekua na Power usingeniambia maneno hayo

Nawasilisha mkuu
 
Ngoja nipigie mstari jibu, kwa hiyo unakula TIGO kwa condom, kisha unabadilisha condom, unakula mbele - si ndio maana yake Mkuu? Hapo inakuwa salama salmin....
 
Hayo magonjwa kusumbua wanawake wengi sababu sio ngono nzembe bali sababu kubwa ni aina ya pedi tunazotumia....tunatakiwa turudi kwenye kutumia vitaulo sababu hili limekua ni janga kubwa sana kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…