Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mwanaume hachambi tunaongeaga ukweli. Halafu mbona mimi sijawahi kukufanyia hivyo dada yangu.
πŸ˜‚Usijisahaulishe ulivonifokea kwenye comment πŸ˜‚
 
Nijuavyo Me wanaongoza kwa Uti suguuu
Kwamwanaume ni ngumu ila sio kwamba haiwezekani. Hii ni kwasababu maumbile ya mwanaume nitofauti na mwanamke. Hivyo tatizo kidogo tu la njia ya mkojo litamfanya aumie au apate shida kubwa sana kwamuda mfupi tofauti na mwanamke. Mwanamke kupata hayo magonjwa kirahisi na hata kuwanayo sugu ni kwasababu njia yao ya mkojo ni fupi kulinganisha na mwanaume hivyo ugonjwa uingia ndani kuaffect kizazi au kibofu hivyo anaweza kukaa muda mrefu mpaka hayo maeneo yaanze kuonyesha dalili au maumivu.
 
Pia nasikia wanawake tunachelewa kuona dalili sabbu pia njia ya mkojo na kuingiliana ni tofautii hivo unaweza kupta UTI na gono na ukachelewa kujua coz kilasehemu huathirika kivyake
 
Kaswende hiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duuuh Misha pata mikasa kibao ila mwingine ni mwezi ulopita.alooo hadi nilijuta
 
Wanawake wananuka sana siku hizi wanatoa sana ndogo, hawanyi kabla ya kutoa ndogo, machine zinapoga ndogo na kuhimia Kwa K-Vant bila kunawa, nyesi linaingia Kwa K-Vant, kuoga wavivu, hovyo kbsa shahawa wanamwagiwa na wengi mwanamke anapigwa na watu 10-20, hawachambi Kwa maji hujali tishu hawanawi, hawatembei na lesson, wala kanga siku hizi wanawake ni mabaya tu
 
Pia nasikia wanawake tunachelewa kuona dalili sabbu pia njia ya mkojo na kuingiliana ni tofautii hivo unaweza kupta UTI na gono na ukachelewa kujua coz kilasehemu huathirika kivyake
Hiyo pia kitaalamu pia ni kweli, it's a known fact.
 
Achana na michepuko endelea kukaa na mkeo kwa unmindful mkubwa
 
Kupanga ni kuchangia, yote maisha kama umeyaridhia! Muda wa kumfukyzia mwanamke unao, wa kuhakikisha anapata matibabu huna, unaishi kwa kubahatisha.
 
Unakuta mwanaume anakula wanawake kibao kwa wakati mmoja na hakumbuki kinga kwa nini usikipate cha moto??? haya bado wale wapita rough roads tena peku alafu unakuta nae yupo hapa kuponda wanawake ebooo badilikeni kwanza nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…