Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Siku hizi ukitembea na mwanamke zikapita siku mbili mwanaume hujaona chochote kwenye uume unamshukuru Mungu

Mimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu😡
sugu ina maana ilikutesa kwa mda gani ndugu. au ulipata ile ya maziwa
 
mwanaume unafika maiaka 30 hata gono hujui inafananaje sikia kawe PADRI kijanaa 😀 😀 😀 boxer inanata balaa ukikamuaa kitu kinamwagika tuu ndo utajua peku tamu ila nomaaa
hahahaahhaahhaahaha umeuwa 😄 😄 😄 😀😀
 
Ni kweli kabisa, Mimi Nipo kwenye sekta ya afya, niseme tu Ukweli asilimia kubwa ya wadada age 17-26 wana matatizo sana ya UTI,candidiasis na Gono. Hasa UTI ndio wengi saaana

Yaani ukiwa kwenye masuala ya huduma za kiafya kama unakinyaa unaweza usitafute wadada tena maana wengi wagonjwa huko chini😞
Kwa hiyo unatushaurije dokta?
 
Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.

Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.

Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.

Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..

Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.

Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Tumia kinga daima kwa usalama wa afya yako.Mimi nikimkuta mwanamke hana magonjwa ya hovyo hovyo kama hayo huwa namuheshimu na kumthamini sana aisee.
Hatari kwakweli wanawake wengi siku hizi wachafu.
 
Ujana kwa kweli maji ya moto. Ni balaa. Mie mwenyewe sijaoa ila duh...naona nimebugi step kinoma mpaka nafika 42. Lakini sasa napo unawaza ukioa wakati life lako lenyewe tabu, ugali maharage tuu mpaka kichwa kiumie kweli utaweza kumiliki mke? So sometimes sio kwamba vijana wanapenda ila ndio hivyo ugumubwa maisha unawafanya washindwe kuwa na wenza.

Mwili nao unataka kujipoza sometimes . Chaputa haiwezi kukuridhisha kila muda. Tunaishi kwenye nyakati ngumu sana kwa vijana
kweli mkuu umeongea point kubwa sana. sema wachache hawaelewi wana ng"ang'ani oa oa oa
 
Back
Top Bottom