Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sugu ina maana ilikutesa kwa mda gani ndugu. au ulipata ile ya maziwaMimi yupo binti mmoja hivi ana miaka 20, mrembo sana siunajua pisi za Chugga. Aliniachia UTI moja sugu sana na ilinitesa sana mpaka kidogo iniharibie mahusiano yangu kwa my baby mama wangu kwa sababu nilikuwa namkwepa baby mama wangu tusile tundra nisijenikamuambukiza zigo sugu nililotoa kwa hicho kitoto cha chuo cha Uhasibu😡
Kwa hiyo mkuu unaweza kukaa mwezi bila kugonga?Ngono sio chakula kwamba ukiacha utakufa.
Mkuu Leo vp kaka la uefa.mwanaume unafika maiaka 30 hata gono hujui inafananaje sikia kawe PADRI kijanaa 😀 😀 😀 boxer inanata balaa ukikamuaa kitu kinamwagika tuu ndo utajua peku tamu ila nomaaa
hahahaahhaahhaahaha umeuwa 😄 😄 😄 😀😀mwanaume unafika maiaka 30 hata gono hujui inafananaje sikia kawe PADRI kijanaa 😀 😀 😀 boxer inanata balaa ukikamuaa kitu kinamwagika tuu ndo utajua peku tamu ila nomaaa
Mwendobwa chomeka chomoa, bandika bandua, kalia manua, katika bong'oa😂😂😂😂 kazi iendelee 😋😋
kaka mkeka au??Mkuu Leo vp kaka la uefa.
Hata miaka ishu ni mind na maturity tuKwa hiyo mkuu unaweza kukaa mwezi bila kugonga?
Kwa hiyo unatushaurije dokta?Ni kweli kabisa, Mimi Nipo kwenye sekta ya afya, niseme tu Ukweli asilimia kubwa ya wadada age 17-26 wana matatizo sana ya UTI,candidiasis na Gono. Hasa UTI ndio wengi saaana
Yaani ukiwa kwenye masuala ya huduma za kiafya kama unakinyaa unaweza usitafute wadada tena maana wengi wagonjwa huko chini😞
Mmmh! Kwa hiyo mashine inakuwa haisimami au mwendo wa kujichukulia sheria mkononi?Hata miaka ishu ni mind na maturity tu
Nawe ushakutana na haya mabalaa mkuu??🤔🤔🤔😉😉!!???Utakua likeria wewe mnyiramba
Kama miezi minne hivi, nilikuja kupona kwa kuchoma sindano na mitishambasugu ina maana ilikutesa kwa mda gani ndugu. au ulipata ile ya maziwa
Tumia kinga daima kwa usalama wa afya yako.Mimi nikimkuta mwanamke hana magonjwa ya hovyo hovyo kama hayo huwa namuheshimu na kumthamini sana aisee.Wanawake sijui siku hizi wamekumbwa na nini aisee yaani UTI na magonjwa mengine haya ya zinaa kwao imekuwa kawaida.
Yaani siku hizi ukilala na mwanamke peku bila kutumia kinga basi sikipita siku mbili bila kuona uchafu au kusikia tofauti wakati wa kukojoa basi unamshukuru Mungu.
Wanaume hawa viumbe watatumaliza na mbaya zaidi magonjwa haya wanakaa nayo kwa muda mrefu bila wao kujijua.
Unaenda kwa daktari anakwambia umlete na mwenzako mtibiwe wote, huo muda mimi nautoa wapi doctor..
Unakuta mwanamke mzuri mrembo shepu zuri msafi ananukia lakini jichanganye wewe mtoto wa kiume kutembea nae peku ukitoka salama mshukuru Mungu.
Wanaume wengi tunakutana na hali kama hii ila huwa ni siri yetu na doctor, hatuwaambii nyie wanawake zaidi ya kukuacha kimya kimya.
Ndiyo rafiki nilishawahi kukutana na hilo balaa nikajitibu nikapona kabisaNawewe Ushakutana nahilo balaa rafiki???
Mimi nimetulizana totooNawe ushakutana na haya mabalaa mkuu??🤔🤔🤔😉😉!!???
Uefa Leo mzee naomba odds 38 tu.kaka mkeka au??
kweli mkuu umeongea point kubwa sana. sema wachache hawaelewi wana ng"ang'ani oa oa oaUjana kwa kweli maji ya moto. Ni balaa. Mie mwenyewe sijaoa ila duh...naona nimebugi step kinoma mpaka nafika 42. Lakini sasa napo unawaza ukioa wakati life lako lenyewe tabu, ugali maharage tuu mpaka kichwa kiumie kweli utaweza kumiliki mke? So sometimes sio kwamba vijana wanapenda ila ndio hivyo ugumubwa maisha unawafanya washindwe kuwa na wenza.
Mwili nao unataka kujipoza sometimes . Chaputa haiwezi kukuridhisha kila muda. Tunaishi kwenye nyakati ngumu sana kwa vijana
Thats good 😘Mimi nimetulizana totoo