LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Visa vimekuwa ni vingi sana siku hizi watu kuachiwa Gono na uti Sugu kutoka kwa mabinti ambao hawakuwadhania kulingana na urembo na usafi waliokuwa nao watu hawaamini yani wamepataje.
Juzi kuna mkongo kaja ofisini kwangu baada ya kuadimika kwa wilki mbili hakuonekana mjini tulivyomuuliza shida nini akasema kuwa alikuwa anaumwa UTI sugu hadi akalazwa kahangaika kuutibu kwa laki 3, analalamika kuna binti anauza Duka la nguo la jirani ndio kamuambukiza jamaa alitupia voko na Dola za kikongo binti akaelewa na huyo binti ni pisi shombe shombe ya kwenda msafii ukimuangalia ila kamuachia mtu uti sugu wiki mbili yupo kitandani.
Jamaa anasema Congo huko kwao hakuna Uti ndio kaja kuipata hapa tukacheka sana, jamaa anatembea na condom kwenye walet kakoma haswaa.