Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Siku hizi UTI sugu na Gono vimejificha kwa mabinti wale warembo sana, kuweni makini

Visa vimekuwa ni vingi sana siku hizi watu kuachiwa Gono na uti Sugu kutoka kwa mabinti ambao hawakuwadhania kulingana na urembo na usafi waliokuwa nao watu hawaamini yani wamepataje.

Juzi kuna mkongo kaja ofisini kwangu baada ya kuadimika kwa wilki mbili hakuonekana mjini tulivyomuuliza shida nini akasema kuwa alikuwa anaumwa UTI sugu hadi akalazwa kahangaika kuutibu kwa laki 3, analalamika kuna binti anauza Duka la nguo la jirani ndio kamuambukiza jamaa alitupia voko na Dola za kikongo binti akaelewa na huyo binti ni pisi shombe shombe ya kwenda msafii ukimuangalia ila kamuachia mtu uti sugu wiki mbili yupo kitandani.

Jamaa anasema Congo huko kwao hakuna Uti ndio kaja kuipata hapa tukacheka sana, jamaa anatembea na condom kwenye walet kakoma haswaa.
LIKUD, UTI haiambukizwi na sio ugonjwa wa zinaa. Huyo alipata ugonjwa wa zinaa au fangasi. Siku hizi magonjwa ya zinaa yanajificha sana. Mimi nilimeza fluconazole dozi ya 30, kila nikipima hakuna ugonjwa wowote. Nilichoma sana masindano ya power safe mpaka kuja kupona. Nilihangaika miezi 2. Shangingi ulinipa.
 
Kuna jambo linapotoshwa kuhusu kuambukizana UTI kwa njia ya ngono.
UTI inasababishwa na bacteria waliopo njia ya haja kubwa (anus). Wakiwa njia ya haja kubwa hawaleti shidaya UTI.
Wakiingia njia ya mkojo husababisha UTI.
Hivyo huenda mnagusisha penis kwenye 'ndogo' kwa bahati mbaya wakati wa kulenga pahala pake au mnatumia kujamiiana kwenye 'ndogo'.
Kwa hivyo tusiwe wepesi kurushia lawama wanawake sababu ya kukosea tendo.
kWa sisi wanaume chini ya miaka 50 ukiona anaumwa ma UTI ujue ni mfiraji.
 
Nakumbuka nilala na mwanaume cheupe yaani halafu shangaeni natulivaa kinga ili bidi niishiwe nguvu maana ilipenya kuna magonjwa . Bwana kulee kulivimba nakuwasha yaani chooni sikuenda vizuri ukikojoa ndio basi tena nikapelekwa hospitali nikatibiwa nikachomwa sindano mbili za haraka nilikuwa natembea kama nimebakwa nikaambiwa ni stds yaani niliombwa nijitunzee.

Miaka 2 natoa kimakini
 
Yaan pamoja na kuvaa Ndomu Ila UTI na STDs ikapenya mpaka kwenye bunyero?
 
Nakumbuka nilala na mwanaume cheupe yaani halafu shangaeni natulivaa kinga ili bidi niishiwe nguvu maana ilipenya kuna magonjwa . Bwana kulee kulivimba nakuwasha yaani chooni sikuenda vizuri ukikojoa ndio basi tena nikapelekwa hospitali nikatibiwa nikachomwa sindano mbili za haraka nilikuwa natembea kama nimebakwa nikaambiwa ni stds yaani niliombwa nijitunzee.

Miaka 2 natoa kimakini
Mbona kama unakimbizwa mama mtu!? Hebu tulia flow taratibu tuelewane
 
Back
Top Bottom