Siku hizi vijana wana-date na wamama watu wazima

Nachangamana sana na watu ila kujua nani kalala na nani kamtongoza nani aisee inabidi ubadili aina ya watu unaochangamana nao mkuu
 
Too bad,, wanaokuwa affected ni watoto wa kike, and what worse society imekuwa na idea za kipuuzi sana lying to girls and boys , narcissist and wanafki ni wengi kupita maelezo
Damn son, but ndio maisha yalipotufikisha we have forgotten our values tumeamua kukazana na upepo wa dunia unavyokwenda sikuhizi ukiwa mtu wa kushikilia norms unaambiwa we ni mshamba tulia dunia ishakuacha 😅😅😅 unasema hiii!
 
Nachangamana sana na watu ila kujua nani kalala na nani kamtongoza nani aisee inabidi ubadili aina ya watu unaochangamana nao mkuu
Ndio niliokua nao wengi nipo nao tokea nasoma, nimecheza nao mpira, shule nimeenda nao japo kuwa hawakufanikiwa kwenda mbali, pamoja na mambo yao ila still walikuwa sehemu ya maisha yangu na tukionana tunapiga story kama kawa, ila kwa sasa hatuonani sana kwani kila mtu ana maisha yake.
 
Wasiojielewa na washamba wa K! Mie natomba for free cause its a pleasure for both of us, maisha yangu siwezi honga kwa ajili ya K! Na sinunuagi K za mafungu😎!

You take it or leave it!
Hii tunaita umepewa buree, toa buree!!
 
Mama ako anagongwa na nani?
 
Wanawake ndio walianza kuharibu kila kitu mara tuitwe kibamia mara mwanaume suruali mara kimoko chaali,
Na sisi tusivyopenda dharau ikabidi tutafute mbadala mpaka leo ndio hiki tunachokiona
Hawa dawa ni kwapotezea tu piga sepa usisubirie assessment report
 
Damn son, but ndio maisha yalipotufikisha we have forgotten our values tumeamua kukazana na upepo wa dunia unavyokwenda sikuhizi ukiwa mtu wa kushikilia norms unaambiwa we ni mshamba tulia dunia ishakuacha [emoji28][emoji28][emoji28] unasema hiii!
The wanafika 35 hawana uelekeo wa familia,, [emoji16][emoji16][emoji16] wanasahau kuwa as u grow family is the most important thing kwa Kila individual,, wanakuwa desperate kiasi kwamba each and everyone in their path ni food,,,
 
The wanafika 35 hawana uelekeo wa familia,, [emoji16][emoji16][emoji16] wanasahau kuwa as u grow family is the most important thing kwa Kila individual,, wanakuwa desperate kiasi kwamba each and everyone in their path ni food,,,
Yeah usipojitambua mapema umeisha mzee, naona kuna kundi la wazee wa ajabu sana after 30 years
 
Dogo tafuta kazi ili uache kufuatilia vitu visivyo na manufaa kwenye maisha yako binafsi,

Una anika wamama wa watu kwa story za hearsay,wewe unajua tabia za mama zako?

Wanaume tunazidi kupungua tu aisee,hii kazi ya umbea ni aibu kwa mwanaume rijali kua nayo.
 
Kama kweli unayashuhudia hayo yote, tafuka kazi ya kufanya. Inaonekana hauna kitu cha kufanya. Sijui huo muda nitaupata wapi wa aina hiyo. Hata watu ninaopishana nao hapa mtaani siwakumbuki.
Kazi nnayo halafu aliye aliye niunganisha kazi ni mmoja ya waliokuwa ktk hizo story, darasa la saba alikuwa anawaendesha wazungu kwenye kampuni moja ya telecom, yeye ndiye aliye chukua CV yangu 2017 nakunitafutia kazi japokuwa hivi sasa sipo hapo.
 
Reactions: Cyb
Kazi nnayo halafu aliye niunganisha na kazi ni mmoja ya waliokuwa ktk hizo story, darasa la saba alikuwa anawaendesha wazungu kwenye kampuni moja ya telecom, yeye ndiye aliye chukua CV yangu 2017 nakunitafutia kazi japokuwa hivi sasa sipo hapo.80% ya niliokuwa nao kitaa wengi madereva wa tax na baadhi ya taasisi binafsi, bajaj na bodaboda.
 
Nachangamana sana na watu ila kujua nani kalala na nani kamtongoza nani aisee inabidi ubadili aina ya watu unaochangamana nao mkuu
Sijajua wewe umekulia mazingira gani ila hawa hawa kwa kiasi kikubwa wamenibeba, hata kazi yangu ya kwanza nimeunganishwa na mmoja wa hao watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…