Siku hizi vijana wana-date na wamama watu wazima

13: 🤣🤣
Punguza wivu.
 
Acha umbea, mbona kama huna kazi ya kufanya? wewe unakuwaga wapi kuyaona matukio yote hayo

pls jinsia tafadhali
 
Nachangamana sana na watu ila kujua nani kalala na nani kamtongoza nani aisee inabidi ubadili aina ya watu unaochangamana nao mkuu
Nitashangaa kama umri wake ni 24+.

Maisha hayo ni O level, mtu anapata ujasir kabisa ya kuweka wazi humu ndani, akija kuwa mzee si ndo atakuwa hawezi kutunza siri zaidi ya hapa.
 
Mtoa maada uko mkoa gani samahani lakini naomba unijibu
 
Hii thread angeandika mwanamke hata nisingeshangaa mkuu, yaani mwanaume kabisa tena inaonesha umri ni zaidi ya 24.

Ni aibu kubwa mno.
 
Nitashangaa kama umri wake ni 24+.

Maisha hayo ni O level, mtu anapata ujasir kabisa ya kuweka wazi humu ndani, akija kuwa mzee si ndo atakuwa hawezi kutunza siri zaidi ya hapa.
Mimi nashangaa kabsa,,,mimi ni Ke lakini cjui yanayoendelea mtaani kwangu,,,nitashangaa kama ni mwanaume ila kama ni mvulana akikua ataache tumsamehe
 
mimi nashangaa kabsa,,,mimi ni Ke lakini cjui yanayoendelea mtaani kwangu,,,nitashangaa kama ni mwanaume ila kama ni mvulana akikua ataache tumsamehe
Kuna sehemu nimesoma imeonesha amemaliza chuo na ana kazi yake kabisa, hata mimi ambae jobless sina maisha ambayo jamaa alivyo aiseeee.

Hata kama mtu unajua, sasa ndo kuweza kuyamimina kiasi kweli?
 
Nitashangaa kama umri wake ni 24+.

Maisha hayo ni O level, mtu anapata ujasir kabisa ya kuweka wazi humu ndani, akija kuwa mzee si ndo atakuwa hawezi kutunza siri zaidi ya hapa.
Inabidi abadilike huyu kijana, hii sio salama kwake
 
Kuna sehemu nimesoma imeonesha amemaliza chuo na ana kazi yake kabisa, hata mimi ambae jobless sina maisha ambayo jamaa alivyo aiseeee.

Hata kama mtu unajua, sasa ndo kuweza kuyamimina kiasi kweli?
mimi nimeshangaa sana, nimemuuliza alivyonijibu inaezekana ni mtu mzima ila ana akili za wavulana

mtu huwezi move forward na akili za namna hiii

nimesikitika kabisa na ujue sikuweza soma hadi mwisho maana hasira zilianza kunipanda nikajiuliza "what the hell is this"

hahahahahah
 
Calm down pls🤣 akikua ataacha😂
 
hakuna ubaya. hata wababa wanatembea na mabinti wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…