Siku hizi vijana wengi wa kiislam wanakula nguruwe bila hata hofu

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof lakini hii ina ukweli mno sababu 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo waliuagiza na wanazitafuna bila haya.

Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.

Nina hakika kuna shida sehemu.
 
Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.

Nina hakika kuna shida sehe
Mimi simoooo
 
Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.

Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.

Nina hakika kuna shida sehemu
Hao ni "waislam" kwa majina lakini siyo wa Kiislam kwa vitendo.
 
Acha watu wale nyama uyo mdudu ni mtam sanaa
 
Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.

Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.

Nina hakika kuna shida sehemu
Kipindi cha mfungo mauzo ya mbuzi katoliki yanashuka sana 1+1=3 😃
 
Nijuavyo Mimi,kwa sasa katika zama hizi za utandawazi,smartphones, na mambo mengi ya kisasa yamekuja kutikisa Imani(dini) kwa kiasi kikubwa sana.

Kwa upande wa ukristo hali imekuwa mbaya zaidi kuliko upande wa uislamu. Ila nako muda si mrefu mambo yataanza kuharibika na mmomonyoko utainekana wazi wazi.

Nimeshukudia waislamu sasa hivi wakiuza mafuta kama kwa mwamposa kwenye mikutano/mihadhara yao wanayoiita "daawa" na wanatembea mkoa kwa mkoa.

Swala la vijana wa kiislamu kula nguruwe sasa hivi limekua la kawaida sana,Wala si la kushangaa Tena.

Zanzibar kidoogo nguruwe ni hadimu sana na anaingizwa kwa magendo kama madawa ya kulevya,ila nako Kuna watu wanakula vizuri tu.
 
Hao ni "waislam" kwa majina lakini siyo wa Kiislam kwa vitendo.
Huwa mnasema hivi siku zote hii ni style yenu ya kutafuta sympathy kwa wanaowajua.

Kama hoja ni hiyo basi hakuna atakaekuwa muislam even you kwa sababu wote mnatenda dhambi zile zile wanazotenda wengine eg uzinzi,wizi,usengenyaji roho mbaya uchawi chuki nk.
 
Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.

Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.

Nina hakika kuna shida sehemu
Muislamu hawi defined na Kuvaa kanzu na kofia au jilbab haya ni mavazi tu na hata mtu wa dini yoyote anaweza kuvaa.

muislamu ni Imani + vitendo+ akhlaq (tabia njema) kwa mujibu wa quran na sunna nje ya hapo hakuna muislamu.

Halafu hizo data zako case study umetumia hao unaokutana nao kwenye vijiwe vya nguruwe ndiyo wawe representatives wa waislamu wote? 70% really ?

N.B
"VIJANA WENGI" ungesema "VIJANA NILIOKUTANA NAO WALIOJITAMBULISHA KAMA WAISLAMU".
 
Waislam wa majina tu siyo nguruwe tu, pombe wanalewa, uasherati na uzinzi wanafanya, ushoga wanafanya. Kamsri wanacheza.

Wote wanaofanya hayo, wawe au wasiwe Waislam, wanafanya kufuru. Ni makafiri.

Kafiri hana imani kwake, fini au imani fulani kwake ni lebo tu.

Uislam siyo lebo, ni mfumo kamili wa maisha.
 
Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof lakini hii ina ukweli mno sababu 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo waliuagiza na wanazitafuna bila haya.

Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.

Nina hakika kuna shida sehemu.
Mimi naishi dar ni nadra sana hicho unachokisema sijawahi kukutana nacho
 
Back
Top Bottom