Siku hizi vijana wengi wa kiislam wanakula nguruwe bila hata hofu

Siku hizi vijana wengi wa kiislam wanakula nguruwe bila hata hofu

uislam ndio uliruhusu kula nguruwe, na ni waislam huwa wanafunga ramadhani na kipindi cha ramadhani ndio soko la nguruwe linapata shida, halina wateja. unajua kuwa kwa waislam kama umekamatika kabisa hakuna chakula, uanweza tu kutenda dhambi ya kula nguruwe, ila kwa wakristo dhambi yeyote hata kufa ikibidi hautakiwi kuitenda. ndicho nilichomaanisha, though nguruwe kwetu sio dhambi.
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
 
Hao ni "waislam" kwa majina lakini siyo wa Kiislam kwa vitendo.
Hata wewe nina mashaka nawe 🤣.

Cheki vitu hivyo ….

IMG_7089.jpeg
 
Waislam wa majina tu siyo nguruwe tu, pombe wanalewa, uasherati na uzinzi wanafanya, ushoga wanafanya. Kamsri wanacheza.

Wote wanaofanya hayo, wawe au wasiwe Waislam, wanafanya kufuru. Ni makafiri.

Kafiri hana imani kwake, fini au imani fulani kwake ni lebo tu.

Uislam siyo lebo, ni mfumo kamili wa maisha.
Bibi km bibi.
 
Back
Top Bottom