Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Unajua kuna mambo mtu anaandika wala hujui huwa anakusudia nini
Je ni ajabu sana kwa vijana wa kiislamu wasio jua mafundisho yao kula nguruwe,maana mtu hana elimu kabisa ya dini,kwake yeye chochote ni sawa tu
Sasa mtu kama huyu ndio utauchafua uislamu mzima kwa waislamu majina
Huyu hana tofauti na mkristo ambaye anasema Yesu kahalalisha nguruwe au kahalalisha mambo yote yaliyo haramishwa zamani,wakati Yesu alisema hakuja kutengua torati hata nukta moja bali kuikamilisha
Je mkristo huyu na muislamu jina wana tofauti gani?
Acheni ujinga