The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Nina jamaa yangu Yusuf mtoto wa Mazenze Mzaramo halisi yeye anakwambia niite Yusuf hataki unafiki na msikitini anaingia kama kawaida anakwambia Mungu ndiye anajua imani yake.anaitwa Musa ila akiwa chimbo la mdudu anajitambulisha kama mosses
Shida jamii kubwa sisi wenye hizi imani huwa kuna wakati huwaona wenzetu kiimani kama wamekengeuka sanaa kwa sababu wametenda dhambi au wameenda tofauti na katazo fulani ktk dini tukijisahau na sisi at some points zipo dhambi mbaya na chafu zaidi tunazitenda juu ya nafsi zetu