Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Kanzu ni vazi tu kama vile wewe unavyovaa bikini.
Lebanon kuna wakristo wengi tu wanavaa kanzu. Hata bongo mapastor wenu wanavaa kanzu licha ya kuwa sio waislam. Hata RC chalamila na Makonda wanavaa kanzu licha ya kuwa ni wakristo