Mimi simooooSitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.
Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.
Nina hakika kuna shida sehe
Hao ni "waislam" kwa majina lakini siyo wa Kiislam kwa vitendo.Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.
Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.
Nina hakika kuna shida sehemu
wewe Abdu Shiraz nguruwe unakula sana tuAnkoo unataka kuharibia watu siku.
Nyama ya kishaatan kamwe siwezi kula. Ntake radhi.wewe Abdu Shiraz nguruwe unakula sana tu
Acha watu wale nyama uyo mdudu ni mtam sanaaSitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.
Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.
Nina hakika kuna shida sehemu
😄🤣😂anaitwa Musa ila akiwa chimbo la mdudu anajitambulisha kama mosses
Kipindi cha mfungo mauzo ya mbuzi katoliki yanashuka sana 1+1=3 😃Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.
Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.
Nina hakika kuna shida sehemu
Huwa mnasema hivi siku zote hii ni style yenu ya kutafuta sympathy kwa wanaowajua.Hao ni "waislam" kwa majina lakini siyo wa Kiislam kwa vitendo.
Muislamu hawi defined na Kuvaa kanzu na kofia au jilbab haya ni mavazi tu na hata mtu wa dini yoyote anaweza kuvaa.Sitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof. Lakini hii ina ukweli mno. Coz 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo WALIUAGIZA na wanazitafuna bila haya.
Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.
Nina hakika kuna shida sehemu
Hao ni "waislam" kwa majina lakini siyo wa Kiislam kwa vitendo.
Mimi naishi dar ni nadra sana hicho unachokisema sijawahi kukutana nachoSitasema vijana wote wa kiislam. Coz nitahitaji more proof lakini hii ina ukweli mno sababu 70% ya hao ambao sikutarajia wataagiza msosi huo waliuagiza na wanazitafuna bila haya.
Sijui ni nini kimewapata vijana hawa ambao wengine mchana wanaitwa ustaadh na kanzu wanazo.
Nina hakika kuna shida sehemu.