Siku hizi vijana wengi wa kiislam wanakula nguruwe bila hata hofu

Umebisha tu ila ninachokwambia watu wanaosoma dini hawayumbishwi na hayo mabadiliko kwasababu uislamu unafit zama zote, hao walioamua kufanya dilution wameamua wao ila uislamu wa asili umebaki palepale, na hawatoudhuru uislamu kwa chochote kundi linalosimamia misingi ya uislamu lipo na litaendelea kuwepo.
 
Ustaadhat kwa heshima na tahadhima, naomba kifungu toka kwenye quran kinachohalamisha kula nguruwe.

Nitashukuru kama nitakipata mkuu wangu.
 
Waache wapandishe CD4.
Kitimoto Ina vitamini A nyingi kuliko mayai ya kienyeji mengi kwa wakati mmoja
Pia Ina calories za kutosha ,

So MTU akila kitimoto anakuwa amekula chakula cha maana sana kwake
 
Mnakuza mambo. Msipangie watu maisha. Unazaliwa peke yako unakufa peke yako. Mradi unachofanya hakiwadhuru wengine kila mtu afanye atakayo kwa maisha yake.
 
Lakini kuna siku ulishauri serikali iruhusu matumizi ya bangi na pombe haramu ili kupanua wigo wa kukusanya kodi
Bangi nakubali, nimeshauri tena bado nashauri na nalaumu, tumechelewa sana kuhalalisha kilimo cha bangi.

hilo la pombe haramu, sikubali, umenichomekea.
 
sio siku hizi, ni siku zote. huwa huoni kipindi cha mfungo mauzo yanavyopungua na wakifungua tu mauzo yanaongezeka. shida ni kwamba kwao kula sio dhambi, ndio maana kama umebanwa hakuna chakula kingine unaweza kula tu. kwa wakristo dhambi ikiwa ni dhambi hata ukitakiwa kufa hutakiwi kuitenda kwa sababu inachafua roho. sasa wenzetu hiyo kuna exeptions unaweza kula ndio maana tunasema hiyo sio dhambi saana kwao. though vijana wanasema watakula kila kitu ila sio ile pua na mbichwa.
 
Ukristo upi ulioruhusu kula nguruwe?
 
Ukristo upi ulioruhusu kula nguruwe?
uislam ndio uliruhusu kula nguruwe, na ni waislam huwa wanafunga ramadhani na kipindi cha ramadhani ndio soko la nguruwe linapata shida, halina wateja. unajua kuwa kwa waislam kama umekamatika kabisa hakuna chakula, uanweza tu kutenda dhambi ya kula nguruwe, ila kwa wakristo dhambi yeyote hata kufa ikibidi hautakiwi kuitenda. ndicho nilichomaanisha, though nguruwe kwetu sio dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…