Siku hizi wanawake wengi (Age: 30+) wameokoka

RIGHT MARKER

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
129
Reaction score
473
Je, wajua?
Kama wewe ni mpenzi wa kupitia Status na Posts za watu kwenye mitandao ya Kijamii kama vile Whatsapp, Instagram, n.k, utaona sikuhizi wanawake wengi wanapost vifungu vya Biblia, Msahafu, nyimbo za dini, Kwaya mbalimbali, n.k

Ingawa kuna tetesi zinasema kwamba "ni stress za maisha na matarajio yao yamevurugika", lakini mimi siamini hilo bali nasema kwamba ni jambo jema sana mwanadamu kurudi kwenye mstari wa kheri.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.
 
Walokole mwendokasi.. Waogope sana wanaovaa hilo koti la wokovu
 
Je, wajua?
Kama wewe ni mpenzi wa kupitia Status na Posts za watu kwenye mitandao ya Kijamii kama vile Whatsapp, Instagram, n.k, utaona sikuhizi wanawake wengi wanapost vifungu vya Biblia, Msahafu, nyimbo za dini, Kwaya mbalimbali, n.k

Ingawa kuna tetesi zinasema kwamba "ni stress za maisha na matarajio yao yamevurugika", lakini mimi siamini hilo bali nasema kwamba ni jambo jema sana mwanadamu kurudi kwenye mstari wa kheri.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.
Hakuna kitu kinaitwa kuokoka.. epuka matapeli
"kuokoka" ni tendo timilika, utakuwa assured vp umeokoka na wakati hujui ya kesho?
 
Wakuu tunapowasema hao ukumbuke nasisi tutakuja kuzaa watoto wakike!, hao wenye hizo 30+ na single mothers ambao hawajaolewa ndio watoto wetu wajao!.. nafikiri sasa tuache kulisemasema hili nikuja na utatuzi sasa!.
 
You are now growing up..🙏🏿💪🏿💪🏿😂
 
Je, wajua?
Kama wewe ni mpenzi wa kupitia Status na Posts za watu kwenye mitandao ya Kijamii kama vile Whatsapp, Instagram, n.k, utaona sikuhizi wanawake wengi wanapost vifungu vya Biblia, Msahafu, nyimbo za dini, Kwaya mbalimbali, n.k

Ingawa kuna tetesi zinasema kwamba "ni stress za maisha na matarajio yao yamevurugika", lakini mimi siamini hilo bali nasema kwamba ni jambo jema sana mwanadamu kurudi kwenye mstari wa kheri.

RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM.
Ni katrend tu hata isikupe tabu.
 
Kuposti vifungu vya Biblia na Quran na kuvaa ushungi siku hizi ni kama fashion tu.
 
Wakuu tunapowasema hao ukumbuke nasisi tutakuja kuzaa watoto wakike!, hao wenye hizo 30+ na single mothers ambao hawajaolewa ndio watoto wetu wajao!.. nafikiri sasa tuache kulisemasema hili nikuja na utatuzi sasa!.
Hapa tunaongelea wale waliochezea usichana wao mwisho wa siku kiza likaanza kuingia taratibu
 
You are now growing up..🙏🏿💪🏿💪🏿😂
najichetuaga tu sio kwamba hazimo ni vile napenda vimbwanga ila linapokuja swala la maisha halisi sitaki mchezo!, mi mkinipa hii nchi chawa wote na mambo ya ajabu lazima yaishe!..
 
If you want to find young prostitutes at their prime go to the club, If you want to find retired prostitutes go to the church and mosque.
 
Back
Top Bottom