Siku kama ya leo, miaka 19 iliyopita, safari ilianza!

Siku kama ya leo, miaka 19 iliyopita, safari ilianza!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Time flies.
IMG_5909.jpeg

Tarehe 9 January 2007, Apple walizindua iPhone ya kwanza.

Katika uzinduzi Steve Jobs alisema, “An iPod, a phone, and an internet communicator... These are not three separate devices. This is one device, and we are calling it iPhone”

Yaliyofuata ndio hivo tena. Hawakamatiki hadi leo.
 
Ndio maana kuna watu bado wananunua editions za 2017 huko ili nao watume brand...
..ni sawa tu, kila mtu aishi na kugurahia anachopata
 
Time flies.
View attachment 3527582
Tarehe 9 January 2007, Apple walizindua iPhone ya kwanza.

Katika uzinduzi Steve Jobs alisema, “An iPod, a phone, and an internet communicator... These are not three separate devices. This is one device, and we are calling it iPhone”

Yaliyofuata ndio hivo tena. Hawakamatiki hadi leo.
Hawakamatiki kwenye mauzo
Ila kwenye features za simu, Asian companies are way better
 
Matapeli wakubwa duniani waliofanikiwa kuwakamata wajinga
Kuna msururu wa wadada kila ikitoka model mpya ya hiyo simu something namna gani vipi huko chini zinaongezeka kimo.

Hapo Makumbusho pia wapo vijana beki hazikabi kwa tamaa ya iPhone.
 
Back
Top Bottom