Sasa mpare na mambo haya wapi na wapi?Matapeli wakubwa duniani waliofanikiwa kuwakamata wajinga
Umeshakinunua kile kisweta cha kuwekea simu yako kinachouzwa laki tano?Sasa mpare na mambo haya wapi na wapi?
Hawakamatiki kwenye mauzoTime flies.
View attachment 3527582
Tarehe 9 January 2007, Apple walizindua iPhone ya kwanza.
Katika uzinduzi Steve Jobs alisema, “An iPod, a phone, and an internet communicator... These are not three separate devices. This is one device, and we are calling it iPhone”
Yaliyofuata ndio hivo tena. Hawakamatiki hadi leo.
Kuna msururu wa wadada kila ikitoka model mpya ya hiyo simu something namna gani vipi huko chini zinaongezeka kimo.Matapeli wakubwa duniani waliofanikiwa kuwakamata wajinga
🤣🤣 mpuuz weUmeshakinunua kile kisweta cha kuwekea simu yako kinachouzwa laki tano?
Nunua kisweta bhana, Acha upare au unataka wafanyakazi wa apple wakale wapi wakati wapigwaji mpo 😂🤣🤣 mpuuz we
Navaa pensi sana, muda wote simu iko mfukoni.. kwahiyo sihitaji kisweta
Kama huna acha wivu 🖕🤣Ila Iphone wamejua kuzipa thamani kubwa pasipo ulazima.
Fala weKama huna acha wivu 🖕🤣
Chunga mdomo wako…..utakula mbataFala we
KwendraaaaaChunga mdomo wako…..utakula mbata
👋.
Kisweta hakinibambi kama 🍎📱inavyonibamba 😂👋Nunua kisweta bhana, Acha upare au unataka wafanyakazi wa apple wakale wapi wakati wapigwaji mpo 😂
Ukishakuwa fan wa apple inabidi uwe kama zezeta, kila kitu n ndio boss 😂Kisweta hakinibambi kama 🍎📱inavyonibamba 😂👋