Haina ni siasa za ndani waingie hao akina no reform no election raia wa Tanzania tu wenye NIDANo Reforms No Election
Kuweka sharti la NIDA pekee kwa wahudhuriaji wa kesi ya Lissu ni kuvuruga misingi ya haki za kikatiba. Mahakama ni taasisi ya umma, si klabu ya watu wenye kadi. Haki ya kushuhudia mashauri ya wazi ni ya kila mtu mwenye sababu halali, iwe ni raia au mgeni aliyeidhinishwa kisheria. NIDA haipaswi kuwa kigezo cha kupima uzalendo wala uhalali wa kuwepo mahakamani.Siku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Tusubili siku ukipata changamoto wakili wako awe mchina, kikikikiSiku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Naunga mkono hili wageni wa nje wapate clearance kutoka wizara ya mambo ya nje kwanzawageni halali wapatiwe utaratibu mbadala wa utambulisho kama pasipoti na kibali maalum kutoka Wizara ya Mambo ya Nje.
Mahakama za kesi za ndani ya Tanzania sio the Hague kwenye Mahakama ya kimataifaTusubili siku ukipata changamoto wakili wako awe mchina, kikikiki
Swali fikirishi je watu wote wana vitambulisho vya NIDA?
Kuingia Mahakamani mwongozi u atolewa ba Mahakama. Hakuna kwenye maamuzi ya Mahakama ikisema watu waingie na vitambulisho.Siku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Ndio maana nimesema nashauriKuingia Mahakamani mwongozi u atolewa ba Mahakama. Hakuna kwenye maamuzi ya Mahakama ikisema watu waingie na vitambulisho.
Kijana kasome historia unajua mwalimu nyerere ameingilia mamlaka za nchi ngapi kipindi zinatafuta uhuru kipindi hicho mpaka wengine tuliwahifadhi nchini kwetu halafu nyinyi mnafanya maovu halafu mnataka majirani wasiingilie nenda ukasome historia uone Tanzania imeingilia nchi ngapi kwenye maamuzi.Siku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Nterere Aliingilia hizo nchi sababu walikuwa wakishambulia Tanzania mipaka ya kusiniKijana kasome historia unajua mwalimu nyerere ameingilia mamlaka za nchi ngapi kipindi zinatafuta uhuru kipindi hicho mpaka wengine tuliwahifadhi nchini kwetu halafu nyinyi mnafanya maovu halafu mnataka majirani wasiingilie nenda ukasome historia uone Tanzania imeingilia nchi ngapi kwenye maamuzi.
Think tank kama think tank.Siku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Kumbe hujui hata namna Mahakama zinavyofanya kaziNdio maana nimesema nashauri
Mahakama sio choo ambacho raia yeyote wa nje aweza amua kwenda akijisikia
Noted with thanksMahakama za kesi za ndani ya Tanzania sio the Hague kwenye Mahakama ya kimataifa
Hizi zetu ni local courts mchina wakili wa nini?