B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Wewe ni 💩💩💩Siku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Any way NO REFORMS NO ELECTION huu mwaka hakuna uchaguzi mark my word