B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Wewe ni 💩💩💩Siku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Ngedere wewe! Wewe ni mfuasi wa lusifa! Rudi kuzimu!Siku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Hapo ndio umejibu hoja?Ngedere wewe! Wewe ni mfuasi wa lusifa! Rudi kuzimu!
Comments zako na proposal zako zinaongozwa na chuki (hate), bila ya kuwa na logic na reasoning! Hii inakujengea afya mbaya ya ubongo wakoSiku kesi ya Lisu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi .Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Watanzania wengi hawana hivyo vitambulisho vya NiDA, pia hilo siyo takwa la Kikatiba, kwa hiyo ushauri wako hautekelezekiSiku kesi ya Lisu nashauri anaenda mahakama ya Kisutu ende na vitambulisho vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi
Sio kweli wengi wana namba za NIDA sababu huwezi sajili laini ya simu au kufungua akaunti benki bila namba ya NIDA au kukopa taasisi bila NIDA nkWatanzania wengi hawana hivyo vitambulisho vya NiDA, pia hilo siyo takwa la Kikatiba, kwa hiyo ushauri wako hautekelezeki
Namba wanakuwa nazo za NIDA hata kama kitambulisho physical hawanaKuna watu sasa sijui wanatumia nini kufikili! Hivyo vitambulisho vyewewe serikali imeshindwa kumpa Kila raia wake
Samahani mkuu uko sawa kweli?Namba wanakuwa nazo za NIDA hata kama kitambulisho physical hawana
Ni kuweka tu vidole kwenye kamashine kuwahakiki kabla kuwaruhusu wapite getini
Uongo huu,Sio kweli wengi wana namba za NIDA sababu huwezi sajili laini ya simu au kufungua akaunti benki bila namba ya NIDA au kukopa taasisi bila NIDA nk
Uongo tena wa mchana kweupe kusajili line ya simu wanachohitaji sio kitambulisho hata kama huna watakuomba namba yako ya NIDA tu kisha kuhakiki kuwa ni wewe utaweka madole kwenye mashine zao watakuona kuwa ni wewe watakusajilia line bila shidaUongo huu,
Em nenda kwa wakala umwambie unahitaji line ya simu ila huna kitambulisho uone, wanasajili kama kawaida.
Dogo,Uongo tena wa mchana kweupe kusajili line ya simu wanachohitaji sio kitambulisho hata kama huna watakuomba namba yako ya NIDA tu kisha kuhakiki kuwa ni wewe utaweka madole kwenye mashine zao watakuona kuwa ni wewe watakusajilia line bila shida
Niliongelea chumba cha mahakama, kurusha kesi mimi nikikuwa muungaji mkono mkubwa kuwa iendeshwe hivyo. Pitia post zangu.Toka mwanzo mimi nilitaka irushweUnajisikiaje leo kesi inavyoruka na dunia nzima inaona bila hizo unazoita NIDA?
Hata mahakama haijawahi toa such bullshit. mahakama ndio itasema si weweSiku kesi ya Lissu ikiletwa mahakama ya Kisutu wahudhuriaji waende na vitambulisho vya taifa vya NIDA sababu hiyo kesi inahusu mambo ya ndani ya nchi. Wahudhuruaji lazima wawe watanzania sio wageni.
Na wahakikiwe kwa madole kwenye mashine kama hivyo vitambulisho vyao
Hiyo itazuia watu wa nje kuhangaika na mambo yetu ya ndani ya nchi
Asiyeenda na kitambulisho cha NIDA asiruhusiwe kuingia getini
Kama kawaida wazee wa kupiga reverse .Nikiongelea chumba cha mahakama, kurusha kesi mimi nikikuwa muungaji mkono mkubwa kuwa iendeshwe hivyo. Pitia post zangu.Toka mwanzo mimi nilitaka irushwe
Ila kuingia chumba cha mahakama ndio nikaleta hii mada