Siku kuu ipoje kwako

Siku kuu ipoje kwako

Tumepika, tumekula tukashiba ndiii
Balaa likaanza la vyombo
Alhamdullilah tukafanikiwa maliza kuosha.. Tukachill kwa kideo kuwacheck Anfield wakitikisa nyavu.

Hapa sahii niko Live na Wasafi, ila wanastuck mchaneli hauko clear. Mond anakwama.

Day well spent 😍
Hata karibu !
 
Wadau wakapiga simu kwenye laini iliyo kwenye simu ndogo. Simu ndogo yenyewe ilikuwa kwa bag tokea alhamis sikuitoa huko.

Trip ya Mbugani ikanipita shwaaaaa
Kimeniuma kidogo 😔
Subiri nitafute hela ninunue tekno niwe natembea na laini zote pamoja.
 
Poleeee
 
Hapo haijakuuma bado subiri uone picha za status wanyama na za misosi 😁
 
Wadau wakapiga simu kwenye laini iliyo kwenye simu ndogo. Simu ndogo yenyewe ilikuwa kwa bag tokea alhamis sikuitoa huko.

Trip ya Mbugani ikanipita shwaaaaa
Kimeniuma kidogo 😔
Subiri nitafute hela ninunue tekno niwe natembea na laini zote pamoja.
Si unapenda aifoni pole sana kwa kukosa kwenda kuishangaa dunia
 
Back
Top Bottom