AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Kweli ni mradi...ni mchongo wa watu kutumia wanawake kupiga pesa...Ni katika.hali ya kuwawezesha na hali ya kupiga pesa pia.
Hapo fundraising zakutoshaKweli ni mradi...ni mchongo wa watu kutumia wanawake kupiga pesa...
Hadini kajejo jigilu Ukraine na urusi.Na BADO siku ya jinsia ya kike [emoji1787]siku ya wabeba mimba[emoji1768] na siku ya walio kuwa wa KWANZA KULA TUNDA pale Eden [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Konoboy me kisukuma sijui vzr umemaanisha nini hapo[emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hadini kajejo jigilu Ukraine na urusi.
👉Siku ya kunyonyesha: kuwahamasisha wanawake wanyonyeshe kwa usahihi.Na BADO siku ya jinsia ya kike [emoji1787]siku ya wabeba mimba[emoji1768] na siku ya walio kuwa wa KWANZA KULA TUNDA pale Eden [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kijerumani hicho wewe..Konoboy me kisukuma sijui vzr umemaanisha nini hapo[emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utasikia siku ya vitenge na vijora [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli wanawake tukiwa na jambo letu akuna kitu yenyewe inaenda wrongUsisahahu kuna siku ya hedhi! Ahahahahahahaahahha!!!!
Me najua bonjour tu[emoji1787]Kijerumani hicho wewe..
Hapo bado utasikia siku ya dada wa kazi(housegirl)Utasikia siku ya vitenge na vijora [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli wanawake tukiwa na jambo letu akuna kitu yenyewe inaenda wrong
Sijui lengo la hayo yote ni nini?Hapo bado utasikia siku ya dada wa kazi(housegirl)
Kupiga ela za wazamini na kufanya biasharaSijui lengo la hayo yote ni nini?
Bonjour ni kifaransa.Me najua bonjour tu[emoji1787]