Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
333
Reaction score
1,261
1000113872.jpg
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake;anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbuki kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).

Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.

Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.

Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.

Pindi mkeo anapoanza kulala na mwanaume/wanaume wengine ujue kifo chako ki karibu.
 
View attachment 3405256"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.

Wanawake ndio mashetani wenyewe ndio maana sisi kwenye dini yetu tunawawavalisha manguo mweusi tiiiii. Na wanaume tunawavisha mavazi safi meupe kwani wao ndio watakatifu wa Mungu
 
Unaakili nyingi sana wewe.. Huku kwetu kuna kifo cha ajabu kimetokea kisa mwanamke. Yaani ninauhakika jamaa huko kuzimu amepewa kiti apumzike na pepsi baridiiii akate kiu, maana hata shetani anamuonea huruma. Anamuangalia mshkaji anajishika tama
 
NI asubuhi sanaa kwa foleni kuelekea kutafta ugali + dagaa ila JF inaburudishaa
 
Mwanamke akianza kuchepuka lazima tu utajua maana,
Lazima ataanza dharau/jeuri tofauti na ulivomzoea hata kama huwa ana jeuri asilia.
So unawasha taa ya njaa na hatua za kuongeza jiko zinaanza mapema.
Akiomba talaka nampa hata kama iweje mradi kataka.
Sasa kwa wale wa ndoa moja ya milele hakuna kuachana sijui hakuna kuongeza mke kwa kweli nyie kufeni tu msijali.
 
Mwanaume akifumaniwa, akiambiwa amuoe huyo mwanamke aliyefumaniwa nae, kwa zaidi 90% atagoma.

Mwanamke akifumaniwa, 100% yupo tayari kuendelea na hayo mahusiano.
 
Usikremishe, Wanawake wengine siku hizi nao hawaishi kwa hisia, wanatizama PESA na mengineyo.
Ukitizama mke na mume, mke anavyoact anampenda mumewe unaweza ukasema sio huyu anaechiti, na hamuoneshi mumewe dharau wala chochote.
Wanachiti kwa akili.
 
Unaakili nyingi sana wewe.. Huku kwetu kuna kifo cha ajabu kimetokea kisa mwanamke. Yaani ninauhakika jamaa huko kuzimu amepewa kiti apumzike na pepsi baridiiii akate kiu, maana hata shetani anamuonea huruma. Anamuangalia mshkaji anajishika tama
Ilikuaje? Hebu tupe abc za mkasa.
 
Ilikuaje? Hebu tupe abc za mkasa.
Ilikua hivi;
Mwamba kaoa mke wake mbichiii.. ndoa hata miezi mitatu haijakata akauguliwa na baba yake bushi huko. So akaondoka akamuacha wife home.. akaenda kuuguza dingi ake huko for two weeks, dingi akakata moto wakazika. Mwana anarudi bila kujua alivotoka tu kuna kidume kilikua kinalala pale kwake kinashambulia uzazi wa mke wake usiku na mchana.

Wife akakiambia kidume king'oe kwamba jamaa yupo road ndo anarudi maskani, kidume kikasepa kishingo upande. Jamaa karudi maskani, kaacha mabegi, akaona koo linawasha kaenda zake kula michuzi. Mida ya saa nne usiku yupo njiani amesha waka anataka akashambulie uzazi home, kikatokea kile kidume kimamchoma visu shingoni na mbavuni.

Mwamba amekua kama tenga pale ubavuni. hiyo simulizi nasimuliwa nikiwa naiona maiti, jamaa amechomewa visu road. Kwakifupi amekufa bila kujua sababu, na angekua hajaoa ninauhakika angekuepo mpaka time hii. Shetani ndo anamsimulia kilicho mkuta huko dante, wanabembelezana na kulia pamoja.
 
Wapi huko mkuu, mi mwenyewe kuna brother tumemzika juzi hapa kadanja kisa mkewe kuanza tabia za kutembea na dogo dogo flani hivi!!??
NA ushirikina unatajwa pia.
Unaakili nyingi sana wewe.. Huku kwetu kuna kifo cha ajabu kimetokea kisa mwanamke. Yaani ninauhakika jamaa huko kuzimu amepewa kiti apumzike na pepsi baridiiii akate kiu, maana hata shetani anamuonea huruma. Anamuangalia mshkaji anajishika t
 
Back
Top Bottom