Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

Wapi huko mkuu, mi mwenyewe kuna brother tumemzika juzi hapa kadanja kisa mkewe kuanza tabia za kutembea na dogo dogo flani hivi!!??
NA ushirikina unatajwa pia.
Wanawake ni hatari mzee.. ukitaka uishi miaka mingi usioe, na ukioa usipende.
 
Jamaa utamu ulinoga had akamuua kuua.
 


"mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba"


Tafuta NENO lingine la kuweka hapa Mkuu lakini sio UPENDO, kamwe usichanganye UPENDO na uchafu


1 Yohana 4:8

"Mtu asiye na upendo hamjui Mungu; kwa maana Mungu ni upendo."


👉 kwa maana Mungu ni upendo.


Inawezekana Kweli MUNGU na uchafu kuwa pamoja/kuendana?
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…