Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwa hiyo unataka ccm ndo I akie kutuibia na isiwe na wa kuieleza imeiba. We kweli ni kMnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
Ndugu muuza Kangara,kwani umemsahau wapo walioapa kuhakikisha wanaiuwa na wameshindwa,hata wamekodi mamluki covid19 na Bado wamebugi,hayo matamanio Yako yanatoka wapi🤔Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
jiwekeze zaidi kwenye ndimu na mbilimbi ukwaju nimekuagizia MpandaMnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
Siku hizi Mods wawanawalea Sana hawa wasiojitambua.Acha kutukana mtu usiye mjua, halafu ni kinyume cha maadili ya JF
Mbona hata CCM ni chama cha kifamilia na kikoo! ACT Wazalendo ni mali ya Zitto! TLP ni ya Mrema! UDP ni ya Cheyo! CUF ni ya Lipumba! CHAUMA ni cha Mzee wa Ubwabwa, Hashim Rungwe!Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
Tulia na CCM yakoMnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
Hawa UVCCM akili zao zipo likizoMbona hata CCM ni chama cha kifamilia na kikoo! ACT Wazalendo ni mali ya Zitto! TLP ni ya Mrema! UDP ni ya Cheyo! CUF ni ya Lipumba! CHAUMA ni cha Mzee wa Ubwabwa, Hashim Rungwe!
Hivyo hakuna jipya hapo.
Vipi mataga sasa hivi na nyie mnataka katiba mpya??Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
Waliokutangulia walijaribu sana kuuza santuri za ngonjera hizo, bila ya mafanikio. Kwani hata wakiisha kolea kangala huwa hawakwambii?Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
Pole nenda kwingine tuachie chadema yetuMnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.
Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi.
Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote.
Family business at hand.
Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo.