Siku Museveni Aliponusurika Kutekwa Nairobi

Kumbe mzee ni mnoma sana ee! Mi huwa namchukulia poa
 
Wanasema pia kagame naye ni product yetu??
Hata Hayati Nkurunzinza walewale tu,kuna rafiki yangu ashaniambia zamani wakati mdogo mara kibao alikuwa analala kwao ghafla ukubwani anashangaa ndie raisi wa Burundi.
Huyo rafiki yangu baba yake ni dizaini za hao hao kina Capt.Issonda..nchi ina siri hii jamani acha tu ingekuwa kama USA kwamba baada ya muda flani wanafanya declassification tungejifunza mengi sana.
 
Hakuna kitu Tiss ni mzigo now day
intelligence ya nje wameferi saana hii miaka ya karibuni
 
Usishangae kumsikia raisi Nyusi wa Msumbiji alonga kiswahili fasaha kabisa.

Amekulia Nachingwea.

Ni baadhi tu wajifanya wajanja kama akina Uhuru Kenyatta.

Ila nae hufanya mambo yake kiuangalifu na ni mpaka anywe bia mbili tatu.

🙂
 
Heri hata wangemteka tu ,amegeuka kuwa kero kwa bobi[emoji13][emoji13][emoji137]
Hadithi nyingine anatengeneza sasa ili kuhalalisha uharamia wake. Uende Kampala 10 au 15 ukijifanya Ustaadhi eti hiyo ndo cover ya kudumu? Yeye aseme alivyosaidiwa na Watutsi wenzake kina Kagame na msaada wa Jeshi la Tanzania alikosomea. Kwanza hakuwa chaguo la Mwalimu kuongoza Uganda baada ya vita. Mwalimu alimtaka Mjamaa mwenzake Obote ambaye yeye na kina Tito Okello walimfurusha kabla ya kugeukana.
 
Alisha sema haoni mtu wa kumuachia nchi
Miaka yote hiyo zaidi ya 30 hajaona mtu wa kumwachia, sioni ni kwa namna gani ataweza kumuona katika miaka michache iliyobaki ya uhai active wake. Possibly atafia madarakani kabla ya kumona wa kumwachia na hapo Uganda itaparaganyika.
Museveni alipaswa kumuandaa wa kumwachia na kama alisahau, afanye hivyo sasa - muda hauko upande wake. Akisubiri wamtoe kama kotapin, most likely ataishia pabaya
 
Your browser is not able to display this video.
 
Safi sana mkuu kama utapata wasaa tunaomba utusimulie hao waliokataliwa ili tujifunze.
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…