Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure ila vp kuhusu waliowa recruit na kuwaingiza huko...Do they know the buznes?Ila tuache mzaha, hawa Watutsi kwenye suala zima la ukachero wako vizuri mno: Ukiwaangalia watu kama Paul Kagame, Fred Rwigyema na Yoweri Museveni utagundua kwamba hawa jamaa ni watu ambao They Mean Businness. Mdogo wake Yoweri Kaguta Museveni kipindi cha mapigano alikuwa anatumia jina feki la Salim Salehe huku jina lake la kuzaliwa akiitwa Caleb Akandwanaho. Huyu General Salim Salehe akiwa na miaka 25 tu ndiye aliongoza uvamizi wa jiji la Kampala kipindi cha The Ugandan Bush-War.
Kuna Professor mmoja wa UDSM alishawahi kumfundisha Museveni, anasema Yoweri was never in a class. And when we ask where he is, they tell us we saw him somewhere carrying a riffle. Jamaa alianza itikadi kali tokea yuko chuoni na kazoea sana vita. Naamini katika maraisi ambao wana uelewa mpana sana kuhusu masuala ya machafuko, vita, jeshi na ujasusi nadhani Museveni na Kagame hawana mpinzani.
Na binafsi naamin kuwa haiko hovyo hata sasa.Haya mengine ni ya wana usalama wa jamii forum tuu ambayo ukiyasoma unaweza dhan kwel tanzania imepotea na tiss haijielewi...WASIJUE...........Lakini Usalama haukuwa wa hovyo kama unavyofikiria, fikra zako zimeishia kwenye kumpokea sio baada ya kumpokea
Una uhakika tulikua tunaongoza mkuu?Ila ndio kilikuwa kipindi ambacho Bongo tulikuwa tunaongoza kwa Vita ya chini na upelelezi. [emoji16]
Miaka yoooote hiyo zaid ya 30 hajapata wa kumuamin tu????? ndio mnasema Watutsi they mean buzness kwenye Intelligence..Yan nyoka kashindwa kuzaa kanyoka kake anakokaamin???Ni ngumu. Maybe a recruit mtu ambaye anamuamini sana. Otherwise hapo mpaka afe
Miaka yoooote hiyo zaid ya 30 hajapata wa kumuamin tu????? ndio mnasema Watutsi they mean buzness kwenye Intelligence..Yan nyoka kashindwa kuzaa kanyoka kake anakokaamin???Ni ngumu. Maybe a recruit mtu ambaye anamuamini sana. Otherwise hapo mpaka afe
Waache watu waiponde tuuu ila wala sio kitu cha kujisifu bali ni ukwel halis.Smart people are in the right place linapokuja suala la usalama tanzania.haya mambo ya sijui uvccm sijui mtoto wa mjomba ni grievances zetu tu sisi wana usalama wa hapa jukwaan.Hata Hayati Nkurunzinza walewale tu,kuna rafiki yangu ashaniambia zamani wakati mdogo mara kibao alikuwa analala kwao ghafla ukubwani anashangaa ndie raisi wa Burundi.
Huyo rafiki yangu baba yake ni dizaini za hao hao kina Capt.Issonda..nchi ina siri hii jamani acha tu ingekuwa kama USA kwamba baada ya muda flani wanafanya declassification tungejifunza mengi sana.
Mitandaoni kuna wajuajiNa binafsi naamin kuwa haiko hovyo hata sasa.Haya mengine ni ya wana usalama wa jamii forum tuu ambayo ukiyasoma unaweza dhan kwel tanzania imepotea na tiss haijielewi...WASIJUE...........
Weengi sana tumejaaMitandaoni kuna wajuaji
Mimi sina vivid proof ni speculations zangu tu kma wengi humu wanavyoamin mkuu.Museveni naye ni Mtutsi?
Alisha sema haoni mtu wa kumuachia nchi
Really really interesting. Sijui kwanini ilinipita. Sasa nakaa chini vizuri kuisoma.Interesting