20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Swali kutoka kwa Wadau tofauti lenye Maudhui Sawa;
=============
Baadhi ya Majibu yanayoshabihiana kutoka kwa Wadau
Habari wana jamvi,
Kuna kajambo kadogo ningependa pata ufafanuzi kwa yeyote mwenye uelewa. Nimejaribu kusearch humu sijaona bandiko linaloshabihiana.
Ni muda sasa huwa inatokea kama siku naziona kama zinajirudia, naweza kuwa kazini au around popote tu na watu lakini naona kama series za yale matukio na wale watu kuwa yamewahi happen before, naweza uliza watu wa hapo hii siku ya leo kama inajirudia, but wao hawaoni hivyo, wengine husema pia sometimes wao huonaga kwa upande wao, nikikaa kimya basi sometimes naweza hisi tukio linalofata na kutokea vilevile au kufanana kwa asilimia kubwa (japo si mara zote), Lakini nikisema mambo huwa tofauti kidogo.
Hii huwa ni nini? Nitoeni Tongotongo kidogo..
Kuna mambo yanayotokea maishani hua nafikiria sipati jibu, naomba kuwashirikisha mojawapo..
Ni hivi wandugu,
Kuna muda huwa nikiwa nmekaa au labda natembea au kufanya kazi flani yeyote, najikuta naona kama tukio kama hili lilishawahi kutokea katika mazingira yaleyale ninayoyaona.
Kama ni mtu anafanya kitu flani naona ni the exact person niliyewahi kumuona anafanya hivyohivyo katika mazingira yaleyale muda huohuo akiwa kavalia vilevile.
Na wakati mwingine naweza ku-predict akimaliza hapo atafanya hiki au kile au itakua hivi na hivi, but nikisha concetrate sana hapo hiyo kitu inapotea.
Niliwahi muulizia mtu kasema eti binadamu huwa tukifa tunazaliwa ulimwengu mwingine tofauti na huu, so matukio yale bado yapo akilini, but sikuridhika.
Jamani nipo peke yangu naona haya? If not, hicho ni nini?
=============
Baadhi ya Majibu yanayoshabihiana kutoka kwa Wadau
Mkuu hyo kitu kwa kíingeleza cha kifaransa ni DE'JAVUE! Yaani kuna siku au wakati furani unaona kama matendo na mambo yanajirudia kama ulishawi fanya hvi. Hudumu kwa mda furan au dakika kadhaa hivi. Kwa kifaransa inatafsiriwa kama "already see" (de'javue) husababishwa na kuchelewa kwa ubongo kutafsiri mambo hivyo unajikuta kama ushawahi fanya au shuhudia!
Sometimes it is a false prophetic did ambayo husababishwa na delay of information transfer from one side to another and so feil to be interprated timely by the brain causing false prophetic imagenation kwamba hicho kitu ushawahi kukiona au kufanya. Kumbe unapojiona kama mambo yanajirudia basi jua kwamba ubongo umefanikiwa kutafsiri ujumbe ulochelewa au jambo kwa kuchelewa.
Having familiarity of places and in actual sense you have not been their it is memory errors and they do occur due to a number of different reasons like emotional involvement in the situation, expectations, and environmental changes the retention interval between encoding and retrieval of the memory lengthens there is an increase in both the amount that is forgotten and the likelihood of memory error occurring. The cause of memory error may be due to certain cognitive factors such as spreading activation or to psychological factors including brain damage age or emotional factors.
Mkuu ni kweli kabisa karibu kila mtu humtokea hali hii na hii ni kutokana na mtu kuwepo kila mahali spiritually ila hizi body zetu ndio zina limitation kwa lugha nyingine mtu kwa jinsi alivyo anaexist kila mahali so spiritually unaweza kua umeshawahi kufika/kufanya jambo flani ila utambuzi unakua mbali mpaka siku ukifika/kufanya jambo physically ndio unakumbuka kama umeshawahi kufanya jambo hilo mahali yani ni kama unarudia kufanya au ukafika mahali kwa mfano dodoma ukakuta kuna sehemu kama umeshawahi kufika siku flani lakini kiukweli mkoa wa dodoma ndo mara ya kwanza kufika.