Lofawamali
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 304
- 146
Kila unachofikiria leo basi kinabaki kwenye memory i mean oblongata then kwa asiliamia flan inachangia ku experience De ja vu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mwaka 2000 nilikuwa nasafiri kutoka dodoma kwenda singida kwa tren,kufika saranda nilikuwa na wanafunzi wenzangu,alipanda jamaa mmoja aisee kafanana na mimi balaa yaani kilakitu,mh nilikuwa nakula nje wenzangu wakaniita nakuniuliza kwanini nabadilisha nguo?nikawajibu hapana wakanipeleka alipo kuwa yule jamaa tuliangaliana kila mtu akabaki anacheka kwenye behewa letu,hatukusalimiana wala nini kila mtu akakaa kivyake ila tulikuwa kama matairi tulivyo fanana,je hiyo inatokana nanini?ntawasimulia zaidi tulivyofika.
Hiyo hali inaitwa deja vu, na inawatokea watu wengi tu! Kuijua kiundani unaweza ku-google 'Deja vu".
Kama ndo hvyo basi tupo wengi...mi mpaka kuna mtu nilimuuliza..Hivi naota ama ni kitu gani hiki?Nilimsimulia akaishia kusema ni mawazo tu ila hunitokea mara nyingi sana.
Pia naweza kuwa na wazo akilini nitembeapo kua nitajikwaa,nikipoyezea lazima nijikwae na pia katika ubebaji wa vitu kama grass n.k.Nikiwaza tu lazima niwe makini.
Mkubwa Maombi muhimu...muombe Mungu angalau ulalapo na uamkapo, hiyumkini ni haunting memories.