Chambo81
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 441
- 200
mkuu umejibu vizuri sana kwa mtazamo wa kiroho,ni kweli bidadamu ana sura ya roho,nafsi na mwili nafsi inafika sehemu yoyote lakn mwili unalimit,kitendo cha mwili kufika sehemu ambayo nafsi ishawahi kufka unajikuta inarecall km umeshawahi kufka
Mkuu hili jambo ni elimu kamili na ni elimu kubwa sana nyuma ya hii experience,binadamu ni mkubwa sana kuliko anavyojifahamu na ana uwezo mkubwa sana na ndio maana watu wachache wanaoutambua uwezo ambao binadamu anao na jinsi ya kutumia uwezo huu wanasumbua sana duniani na kuonekana ni watu wa ajabu lakini kiukweli kila mtu anao uwezo huo tatizo ni kutotambua tu.