Siku naziona kama zinajirudia, How can you explain this?

Siku naziona kama zinajirudia, How can you explain this?

mkuu umejibu vizuri sana kwa mtazamo wa kiroho,ni kweli bidadamu ana sura ya roho,nafsi na mwili nafsi inafika sehemu yoyote lakn mwili unalimit,kitendo cha mwili kufika sehemu ambayo nafsi ishawahi kufka unajikuta inarecall km umeshawahi kufka

Mkuu hili jambo ni elimu kamili na ni elimu kubwa sana nyuma ya hii experience,binadamu ni mkubwa sana kuliko anavyojifahamu na ana uwezo mkubwa sana na ndio maana watu wachache wanaoutambua uwezo ambao binadamu anao na jinsi ya kutumia uwezo huu wanasumbua sana duniani na kuonekana ni watu wa ajabu lakini kiukweli kila mtu anao uwezo huo tatizo ni kutotambua tu.
 
Mkuu hata mimi huwa inanitokea. Isipokuwa mimi huwa naijiwa na jambo liliofanyika muda si mrefu na mtu yuleyule mahala palepale. mfano sentensi ama mazungumzo fulani huwa zinajirudia vilevile....
 
Hata mimi huwa naona hivyo..........sijui nilikuwa naishi wapi zamani........ila nahisi nimetokea Chile...........
Ha ha ha haaaah wewe nawe, wakati ulikuwa huku kwetu.
 
Mkuu, incarnation maana yake si ni Mungu kuvaa ubinadam? (Mfano Yesu kuzaliwa na Mariamu) inahusiana vp na hii topic, dadafua vzuri baas
Nilikuwa nazungumzia ile reincarnation katika context ya Buddhism hasa ile evolving consciousness (samvattanika-viññana). Unaweza uka-google kwa habari zaidi kwani kwa sasa niko safarini na siwezi kudadavua vizuri.
 
Hii hata mimi hunitokea sana hii. Naona kitafuata hiki na kile. Na kweli kinakuwa. Yaani unakuwa kama unaangalia scene ya movie ambayo ulishawahi iona muda mrefu uliopita
 
sasa nmeelewa maana ya neno DEJAVU,NA nimeielewa ile movie DEJAVU ya Danziel Washington.
 
Hiyo hutokea hata mimi inanikuta tukio lile lile tofauti miaka sijui nini husababisha lakini kwa majibu ya hapa sasa naanza kupata mwanga
 
sasa nmeelewa maana ya neno DEJAVU,NA nimeielewa ile movie DEJAVU ya Danziel Washington.

Deja-Vu-Denzel-washington.jpg
 
mkuu umejibu vizuri sana kwa mtazamo wa kiroho,ni kweli bidadamu ana sura ya roho,nafsi na mwili nafsi inafika sehemu yoyote lakn mwili unalimit,kitendo cha mwili kufika sehemu ambayo nafsi ishawahi kufka unajikuta inarecall km umeshawahi kufka

Hii inanifanya niogope kujua zaid
 
Mkuu hili jambo ni elimu kamili na ni elimu kubwa sana nyuma ya hii experience,binadamu ni mkubwa sana kuliko anavyojifahamu na ana uwezo mkubwa sana na ndio maana watu wachache wanaoutambua uwezo ambao binadamu anao na jinsi ya kutumia uwezo huu wanasumbua sana duniani na kuonekana ni watu wa ajabu lakini kiukweli kila mtu anao uwezo huo tatizo ni kutotambua tu.

Its true human being have extra ordinary abilities..personaly huwa najiskia deep inside that i havent fully exploited my potentials..zaid ya mara mbili nimekuwa nikiota ninapaa bila mabawa (najuwa wengine mtahusisha na imani za kienyeji ila mim cpo huko)..zaid ya yote "deja vu" pia huwa inanitokea
 
kwahiyo hakuna binadamu asie na tatizo la ubongo, maana mi navojua watu wengi huwatokea matukio kama hayo! mkuu bado hujanifanya ni#click hizo links.

Kinachotokea ni sehemu ya ubongo inayohusika kutunza muda (kupanga matukio kwamba yalitokea jana, juzi, mwaka jana, miaka 10 iliyopita, nk.) kujikwaa na kuweka muda wa mbele badala ya muda uliopita. Yaani katika database ya matukio sehemu ya kuandika tarehe mtu uandike tarehe ya kesho kutwa (jambo litatokea baadaye) badala ya tarehe ya juzi (jambo limeshatokea).

Pia kuna baadhi ya dawa za mafua zinaongeza uwezekano wa kupata tatizo hili kwa muda.
 
Back
Top Bottom