NSHOMA FRANCOUS
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 698
- 325
Mengine uwa ni ndoto then inatokea, hata mie ilikua inanitokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Incarnation!
Ni weng, kwa mimi huwa nikifka sehem au kuona eneo flan huwa nakumbuka kama nimewah kuwa hapo kabla... kuna gazet nilisoma waliandka habar ya mtoto ambaye alikufa kwa ajal ya pikipik halaf muda ukapita akazaliwa mtoto kwenye familia nyngne ambae alikuwa anasmulia habar za shule alikokuwa anasoma,wakafatilia ikaonekana ni kweli- wakawaita watoto kama huyo kuwa ni indigo babies
Kuna mambo yanayotokea maishani hua nafikiria sipati jibu, naomba kuwashirikisha moja wapo
Nihivi wandugu,
Kuna muda huwa nikiwa nmekaa au labda natembea au kufanya kazi flani yeyote, najikuta naona kama tukio kama hili lilishawahi kutokea katika mazingira yaleyale ninayoyaona.
Kama ni mtu anafanya kitu flani naona ni the exact person niliyewahi kumuona anafanya hivyohivyo katika mazingira yaleyale muda huohuo akiwa kavalia vilevile.
Na wakati mwingine naweza ku-predict akimaliza hapo atafanya hiki au kile au itakua hivi na hivi, but nikisha concetrate sana hapo hiyo kitu inapotea.
Niliwahi muulizia mtu kasema eti binadamu huwa tukifa tunazaliwa ulimwengu mwingine tofauti na huu, so matukio yale bado yapo akilini, but sikuridhika.
Jamani nipo peke yangu naona haya? If not, hicho ni nini?
Hiyo kitu inaitwa DEJA VU, Kifaransa, maana yake 'imeshatokea'.
Ni tatizo dogo ktk ubongo ambalo hasa huwakumba vijana kati ya miaka 15 - 25.
Soma zaidi hapa science.howstuffworks.com/science-vs-myth/extrasensory-perceptions/question657.htm:science.howstuffworks.com/science-vs-myth/extrasensory-perceptions/question657.htm
Mkuu ni kweli kabisa karibu kila mtu humtokea hali hii na hii ni kutokana na mtu kuwepo kila mahali spiritually ila hizi body zetu ndio zina limitation kwa lugha nyingine mtu kwa jinsi alivyo anaexist kila mahali so spiritually unaweza kua umeshawahi kufika/kufanya jambo flani ila utambuzi unakua mbali mpaka siku ukifika/kufanya jambo physically ndio unakumbuka kama umeshawahi kufanya jambo hilo mahali yani ni kama unarudia kufanya au ukafika mahali kwa mfano dodoma ukakuta kuna sehemu kama umeshawahi kufika siku flani lakini kiukweli mkoa wa dodoma ndo mara ya kwanza kufika.