Siku naziona kama zinajirudia, How can you explain this?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,186
Reaction score
7,184
Swali kutoka kwa Wadau tofauti lenye Maudhui Sawa;



=============

Baadhi ya Majibu yanayoshabihiana kutoka kwa Wadau



 
Huu uzi umekuja wakati mujarabu...haya mambo yamekuwa yakinisumbua kwa muda sasa yaani unaweza kuona tukio ukahisi kabisa kuwa ulishawahi kukutana nalo na picha ikapita kichwani haraka sana kuhusu muendelezo wake na kweli mara nyingi huwa hivyo lkn picha ile haikufikishi hatma ya hilo tukio.Hiyo pia hutokea kwa maeneo ambayo ndio nafika kwa mara ya kwanza maishani na kuhisi niliwahi kuwa hapo kabla na hata kujua features fulani immovable na baadae kukutana nazo kweli hapo around. Mara zote naishia kujiaminisha kuwa ROHO yangu iliwahi kutumiwa na mtu mwingine kabla ya kuwekwa kwenye mwili wangu (faraja yangu ni ya kiroho zaidi).
 
hata mm hua sipatagi jibu kamili hua naonaga kama ndoto or..i don knw nami ngoja ningojee majibu kama ww
 

hiyo ishu ya kwenda mahala ambapo hukuwahi fika na kujiona kama u have been there before huwa inatokeaga pia, unakuta upo safarini kwenda lets say Tanga,huku wahi fika bt kuna vitu ukiviwaza about hiyo sehemu unavikuta.
 
Mkuu hyo kitu kwa kíingeleza cha kifaransa ni DE'JAVUE! Yaani kuna siku au wakati furani unaona kama matendo na mambo yanajirudia kama ulishawi fanya hvi. Hudumu kwa mda furan au dakika kadhaa hv. Kwa kifaransa inatafsiriwa kama "already see"(de'javue) husababishwa na kuchelewa kwa ubongo kutafsiri mambo hvo unajikuta kama ushawahi fanya au shuhudia! Sometimes it is a false prophetic did ambayo husababishwa na delay of information transfer from one side to another and so feil to be interprated timely by the brain causing false prophetic imagenation kwamba hicho kitu ushawahi kukiona au kufanya. Kumbe unapojiona kama mambo yanajirudia basi jua kwamba ubongo umefanikiwa kutafsiri ujumbe ulochelewa au jambo kwa kuchelewa.
 
yaani una akili nyingi kama yale mazombi ya kwenye movies iseee
 
Having familiarity of places and in actual sense you have not been their it is memory errors and they do occur due tova number of different reasons like emotional involvement in the situation, expectations, and environmental changes the retention interval between encoding and retrieval of the memory lengthens there is an increase in both the amount that is forgotten and the likelihood of memory error occurring. the cause of memory error may be due to certain cognitive factors such as spreading activation or to psychological factors including brain damage age or emotional factors.
 
Wakuu mwaka 2000 nilikuwa nasafiri kutoka dodoma kwenda singida kwa tren,kufika saranda nilikuwa na wanafunzi wenzangu,alipanda jamaa mmoja aisee kafanana na mimi balaa yaani kilakitu,mh nilikuwa nakula nje wenzangu wakaniita nakuniuliza kwanini nabadilisha nguo?nikawajibu hapana wakanipeleka alipo kuwa yule jamaa tuliangaliana kila mtu akabaki anacheka kwenye behewa letu,hatukusalimiana wala nini kila mtu akakaa kivyake ila tulikuwa kama matairi tulivyo fanana,je hiyo inatokana nanini?ntawasimulia zaidi tulivyofika.
 

Endelea kusimulia, malizia story, then watu wa coment
 
dagii

Duniani kuna watu sita ambao mnafanana kwa kila kitu isipokua kuna asilimia chache za kukutana!!
 
Last edited by a moderator:
Exactly its De javu, Dejavu ni kitu ambacho ulishawah kufikiria kitatokea then kinatokea kwa mfano kama una ndoto ya kuja kuwa tajir au kumiliki kitu fulani then in future una miliki thats Deja vu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…