Siku naziona kama zinajirudia, How can you explain this?

Ukiona hayo mambo huwa hayakukuti basi wewe si mzima, Hiyo kila mtu lazima imtokee kuna thread nyingi tu zinazungumzia hilo jambo.
 
Ni weng, kwa mimi huwa nikifka sehem au kuona eneo flan huwa nakumbuka kama nimewah kuwa hapo kabla... kuna gazet nilisoma waliandka habar ya mtoto ambaye alikufa kwa ajal ya pikipik halaf muda ukapita akazaliwa mtoto kwenye familia nyngne ambae alikuwa anasmulia habar za shule alikokuwa anasoma,wakafatilia ikaonekana ni kweli- wakawaita watoto kama huyo kuwa ni indigo babies
 

Duuuu????? Inamaana uyo mtt(aliezaliwa) ndo yule aliekufa kwa ajali ya pikipiki????? Aseee kumbe ukifa unazaliwa tena
 
Basi tusaidie kujua kinaga ubaga unaona nin kuhusu Rais ajae ! na je uabiri wa mtoto wa shekh Yahaya kuwa mgombea mmoja baada ya kukatwa atahamia Chama kingine na baadae...... oh nimerudi kwenye hali ya kibinadam kabla sijamalizia
 
mie hali hiyo inanitokea since nipo mdogo sana hadi leo... hata sijui ni kwanin
 
Hali hiyo ni ha kawaida kwa watumia mmea aka weed aka cha Arusha aka cannabis..je unatumia....enjoy Hallucinations before you lose it.
 
Inatokea sana.

Na nilishawahi kuuona uzi mmoja hapa hapa baadae ukahamishiwa Intelijensia.

Tena kuna wakati unaweza ukawa na mlimbwende kwa mara ya kwanza lakini ukajiona kama mlishawahi kula raha za dunia pamoja ila kwa pale tendo linakuwa linajirudia, kuanzia eneo mlilokutania, mpaka mnapokuwa mnakula raha za dunia pamoja, kila kitu vile vile kuanzia mavazi na kila kitu.

Mimi mwenzenu huwa nashangaaga ni nini hiki!
 

Mkuu ni kweli kabisa karibu kila mtu humtokea hali hii na hii ni kutokana na mtu kuwepo kila mahali spiritually ila hizi body zetu ndio zina limitation kwa lugha nyingine mtu kwa jinsi alivyo anaexist kila mahali so spiritually unaweza kua umeshawahi kufika/kufanya jambo flani ila utambuzi unakua mbali mpaka siku ukifika/kufanya jambo physically ndio unakumbuka kama umeshawahi kufanya jambo hilo mahali yani ni kama unarudia kufanya au ukafika mahali kwa mfano dodoma ukakuta kuna sehemu kama umeshawahi kufika siku flani lakini kiukweli mkoa wa dodoma ndo mara ya kwanza kufika.
 
Hiyo kitu inaitwa DEJA VU, Kifaransa, maana yake 'imeshatokea'.
Ni tatizo dogo ktk ubongo ambalo hasa huwakumba vijana kati ya miaka 15 - 25.

Soma zaidi hapa science.howstuffworks.com/science-vs-myth/extrasensory-perceptions/question657.htm:science.howstuffworks.com/science-vs-myth/extrasensory-perceptions/question657.htm
 

kwahiyo hakuna binadamu asie na tatizo la ubongo, maana mi navojua watu wengi huwatokea matukio kama hayo! mkuu bado hujanifanya ni#click hizo links.
 

mkuu umejibu vizuri sana kwa mtazamo wa kiroho,ni kweli bidadamu ana sura ya roho,nafsi na mwili nafsi inafika sehemu yoyote lakn mwili unalimit,kitendo cha mwili kufika sehemu ambayo nafsi ishawahi kufka unajikuta inarecall km umeshawahi kufka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…