Makolo leo mwendo unamalizika wanarudi kwenye ligi inayowastahili, ushindi huko bondeni ni ngumu kama kuifunga Yanga, kombe la single mothers, loosers cup shirikisho si la kujisifia , simba butu butu hamna kitu kelele kibao tu , Ateba kabaki na goli kapiga nje dizaini kama vile alivuta shisha!
Refa wa leo anatoka EPL sio tff wala bodi ya ligi, leo hakuna penati , red card ♦️ Wala goli la offside ni kipondo tu!
Stella 3 Simba 1 kama kawa niko Buza Mpalanger maskani nitawazoom makolo wakilialia ooh tumekufa kiume baada ya kupewa kichapo cha paka mwizi