Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Team yoyote ya Tanzania ikichezo kimataifa nipo nayo...Utateseka sana
Team yoyote ya Tanzania ikichezo kimataifa nipo nayo...Utateseka sana
Insha-AllahAngalizo:
Sio tu kuingia fainali ila Simba inakuwa timu ya kwanza kuleta kombe la Afrika hapa Tz
Masikini huyu mwana-UtopoloMakolo leo mwendo unamalizika wanarudi kwenye ligi inayowastahili, ushindi huko bondeni ni ngumu kama kuifunga Yanga, kombe la single mothers, loosers cup shirikisho si la kujisifia , simba butu butu hamna kitu kelele kibao tu , Ateba kabaki na goli kapiga nje dizaini kama vile alivuta shisha!
Refa wa leo anatoka EPL sio tff wala bodi ya ligi, leo hakuna penati , red card ♦️ Wala goli la offside ni kipondo tu!
Stella 3 Simba 1 kama kawa niko Buza Mpalanger maskani nitawazoom makolo wakilialia ooh tumekufa kiume baada ya kupewa kichapo cha paka mwizi
Kombe la wamama, timu mbovu mmeifunga, haikucheza home ground, hata haijulikani south , njooni mcheze na YangaMasikini huyu mwana-Utopolo
Duuhh..yote ya kwako!!Makolo leo mwendo unamalizika wanarudi kwenye ligi inayowastahili, ushindi huko bondeni ni ngumu kama kuifunga Yanga, kombe la single mothers, loosers cup shirikisho si la kujisifia , simba butu butu hamna kitu kelele kibao tu , Ateba kabaki na goli kapiga nje dizaini kama vile alivuta shisha!
Refa wa leo anatoka EPL sio tff wala bodi ya ligi, leo hakuna penati , red card ♦️ Wala goli la offside ni kipondo tu!
Stella 3 Simba 1 kama kawa niko Buza Mpalanger maskani nitawazoom makolo wakilialia ooh tumekufa kiume baada ya kupewa kichapo cha paka mwizi
Ngoma bado mbichi Kolo vs Berkane, dozi zao ni goli nne nneDuuhh..yote ya kwako!!
Una Hasadi mbaya sana wewe
Ukizeeka unakua mwanga
Kweli kabisaaa, 😂😂😂😂😂Final sio ya kila timu
Umehamia berkane tenaa😁hivi hamnaga aibuuNgoma bado mbichi Kolo vs Berkane, dozi zao ni goli nne nne
Simba kufika fainali UTO wameumia balaa, tupo nao huku vibanda umiza.Nilishasema tofauti na kubeba kombe hamna jipya litatuumiza sisi wana yanga
Kombe la chaiSasa kwani hujui kuwa SIMBA anachukuwa kombe
Tusiumie sana sisi YangaKombe la chai
Amka kakaa utajikojolea etiNgoma bado mbichi Kolo vs Berkane, dozi zao ni goli nne nne
Nilishasema tofauti na kubeba kombe hamna jipya litatuumiza sisi wana yanga
Ila sisi Utopolo tuna wivu wa kijingaMakolo leo mwendo unamalizika wanarudi kwenye ligi inayowastahili, ushindi huko bondeni ni ngumu kama kuifunga Yanga, kombe la single mothers, loosers cup shirikisho si la kujisifia , simba butu butu hamna kitu kelele kibao tu , Ateba kabaki na goli kapiga nje dizaini kama vile alivuta shisha!
Refa wa leo anatoka EPL sio tff wala bodi ya ligi, leo hakuna penati , red card ♦️ Wala goli la offside ni kipondo tu!
Stella 3 Simba 1 kama kawa niko Buza Mpalanger maskani nitawazoom makolo wakilialia ooh tumekufa kiume baada ya kupewa kichapo cha paka mwizi
Na ndiyo tunalibeba sasa.Nilishasema tofauti na kubeba kombe hamna jipya litatuumiza sisi wana yanga