Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Kwakuwa tupo katika nyakati ambazo ajira ni ngumu Kwa watu wa hali ya chini kama sisi hivyo sina budi kufurahia hiyo siku ambayo nitapata ajira serikalini
Kukosa connection na watu wakitupambania imetufanya tuone kuwa vyeti vyetu ni vipande tu vya karatasi visivyo na thamani yoyote
Just imagine unapoteza zaidi ya miaka 20 shuleni then ajira Bado kupata ni mtihani Sasa tulisoma ili tupate nini kama sio maisha mazuri
Sasa hivi wasomi wengi ndio tunaongoza kwakuwa na matatizo ya afya ya akili yote ni kutokana na ugumu wa maisha uliotokana na ukosefu wa ajira
Degree yangu ya ualimu niliyoipata Kwa tabu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam Bado naona matunda yake yapo mbali na ndomana nasema siku nikiajiriwa serikalini nitafurahi sana