Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

Inashangaza sana ukute hakumkuta bikra,halafu anajifanya soho inamuuma,ilhali kuna watu wameanza nae (mkewe) toka shule ya msingi,wanamla,sekondari ukute mkewe alikua day schlolar,akaendelea kupigwa.

kaenda JKT wahuni wakapiga,kaingia chuo ameoigwa,tena inavyokuaga mke hamuonyeshagi mume mtarajiwa utundu wote ambao,alifunzwa katika mapito yake,ili aendelee kuwa trusted.

Awe mvumilivu,kwanza ni utoto kumuonea mke wivu,yeye kapewa dhamana tu ya kuishi nae,siyo kwamba anapendwa kuliko waliomlala mkewe,kabla ya kuolewa au sasa.
Hahhaa mi bora nioe bikra kidogo mawazo yatatulia ila ukutane na mtumba kwenye scenario kama hizi lazima ujihoji ni wangapi walipita kabla yako, inauma sana mkuu ila ndo hivo unakuta ushayatimba
 
Kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu.

Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke anauma nyie acheni bwana, vojana acheni utani na wake za watu, ntaingia pabaya.
Ha ha ha huwezi jua siku ya kuchapiwa kuwa mpole tu
 
Inashangaza sana ukute hakumkuta bikra,halafu anajifanya soho inamuuma,ilhali kuna watu wameanza nae (mkewe) toka shule ya msingi,wanamla,sekondari ukute mkewe alikua day schlolar,akaendelea kupigwa.

kaenda JKT wahuni wakapiga,kaingia chuo ameoigwa,tena inavyokuaga mke hamuonyeshagi mume mtarajiwa utundu wote ambao,alifunzwa katika mapito yake,ili aendelee kuwa trusted.

Awe mvumilivu,kwanza ni utoto kumuonea mke wivu,yeye kapewa dhamana tu ya kuishi nae,siyo kwamba anapendwa kuliko waliomlala mkewe,kabla ya kuolewa au sasa.
Ndoa iheshimiwe nyie acheni mzaha
 
Back
Top Bottom