Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Hadi nimecheka. Mapenzi bwana we acha tu, pole sana ndugu yangu. Vijana huwa hawanogewi na mwanamke hadi wasikie ana mtu rasmi.kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu...
Ova