Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

Siku nikichapiwa mke sijui nitakua na hali gali, nimekuta anatongozwa presha imenipanda

Tuliza akili yako,kama unataka mwambie ukweli na abadili no ya simu,akigoma ujue tayari utakuwa mume mwenza muda si mrefu. Usitumie hasira,tumia akili na hakuna adhabu mbaya ya kumpa mtu kama adhabu ya kisaikolojia.Nitakupa mfano:
Kuna jamaa aliambiwa mkeo anachepuka,hakutaka kukurupuka akafanya uchunguzi wake akajua ni kweli. Akapanga shambulizi moja la hatari sijui hata niliitaje. Siku ya kutoa adhabu akarudi home mchana akamwambia mkewe anajisikia vibaya anataka apumzike. Mkewe akamwambia anaenda sokoni fasta lakini jamaa akamwagiza kwenye duka la madawa ambalo lipo mtaa wa pili akamwandikia dawa.Kumbe jamaa haumwi anazuga tu,akamwambia ukishaniletea dawa ndio uende sokoni.
Mke kuondoka tu jamaa akaingia jikoni akakuta msosi kwenye hotpot,akachota wali upande mmoja hadi chini ya hotpot na kuuweka pembeni, huo msosi ulikuwa unapelekwa kwa mchepuko. Sasa jamaa akaingia chooni akakata "gogo", halafu akachota kimba kidogo akaingia jikoni na kuweka kimba alichochota kwenye hotpot kwa chini.
Sasa akajazia ule wali aliouweka pembeni kwenye hotpot kisha akapakua mboga nyingine na kuweka juu ya msosi ili uonekane haukutolewa kuwekwa pambeni.
Mke akarudi akampa dawa na kwenda sokoni,akabeba na msosi. Kilichotokea huko kwa mchepuko siri anaijua mke mwenyewe.
Sasa siku moja wakaonana njiani mwenye mke na mwizi wake,jamaa akamwambia kila kitu kuhusu yeye na mkewe na akamwambia hainiumi kuwa na mke wangu ila inaniuma unakula msosi wa mwanaume mwenzio na kwa ushenzi nikaamua nikuwekee na makapi ya msosi wangu(yaani kimba),umekula msosi wangu umekula na kimba changu.
Mchepuko ulihama mtaa wenyewe,kumbe mchepuko lilifakamia msosi humohumo kwenye hotpot halafu chini kuna kimba cha jamaa..
 
Na nakuhakikishia huyo dogo atamla tu wife wako. Ni jambo la muda tu.

Sasa jiandae tu kulia ama ulie sasa ili baadae ukijua ukweli usilie. Angalia mwenyewe wapi ina faida, kulia sasa ama kulia baadae ila kulia kuko pale pale.
bora alie kabisa 😂😂
ikitokea anakua kazoea
 
Kama ulikumta sio bikra we tulia wahuni wapanue miguu
 
Kaka ukiona hivyo anza kutoka taratibu kwenye hicho kina ulichojizamisha maana ukweli ni kwamba hivyo vitu haviepukiki hasa kwa wanawake wa kisasa, Kuwa makini usije kuishia kwenye majengo ya serikali.
 
Kila siku nawambia hapa tafuteni hela..una milioni 900 iko benki, hivi vinyamkera haviwez kukusumbua,hata wakiamua kutoa video ya x, ila madam unapesa unaaeza kwenda kutomba hata watoto wakali huko dubai ..ona sasa umeanza kupata mapresha...
Piga mandagu mzee uwe tajiri..
 
Kila siku nawambia hapa tafuteni hela..una milioni 900 iko benki, hivi vinyamkera haviwez kukusumbua,hata wakiamua kutoa video ya x, ila madam unapesa unaaeza kwenda kutomba hata watoto wakali huko dubai ..ona sasa umeanza kupata mapresha...
Piga mandagu mzee uwe tajiri..
Utendwe na hauna hela, sabuni sana itahusika
 
Kumbuka huyo mke ameliwa na alosoma nao msingi labda wawili, sekondary labda watatu na mwalimu mmoja, chuo labda Saba na dereva wa Uber wawili, mtaani labda wawili na mubaba mmoja tajiri hapo mtaani kwao.
Kwahivyo wewe umeendeleza tu Sasa kua mpole.
Kumbuka na wewe umewala Sana wengine ambao wameolewa na wengine.
Ishi kizaramo " Ni mkeo akiwa nyumbani"
 
Back
Top Bottom